CCM mbeLe kwa mbele: Wakati wa wafanyakazi, wanasiasa na wakulima nyie wafanyabiashara mnasema hayawahusu

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe.

Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo yanajiendea endea tu.

Ndio sababu wakati wakulima na wafugaji wananyanyaswa na hawa walamba asali huoni kabisa mfanyakazi wa Serikali akiguswa na jambo hilo. Hujikuta akisema Mimi hayanihusu.

Wakati wa Wanasiasa kupitishwa kwenye Tanuru la Moto Mfanyabishara anasema aah hao nao wamezidi bwana. Acha wanyohwe!!😅

Likija swala la fukuz fukuza wafany kazi au kutotoa ajira kwa vijana huona wale wasio na elimu au wasioajirika wakicheka na kusema waje wajiajiri wasibweteke na vyeti. Anasema hivyo wakati mtoto wa Baba mdogo wake kamaliza chuo na ametia nanga nyumbani.

Ni ubinafsi ubinafs, ubinafsi na roho Mbaya.

Ccm wanyoshe tu at the end tutatafuta Katiba Mpya kwa Pamoja.

Hakuna Katiba Mpya ya Bure lazima sote tusote😅😅😅
 
Pengine Kariakoo na maeneo mengine kama tandika, n.k yangekuwa ni ya Serikali tusingesikia wala kuona migomo ya kutuumiza sisi walaji.

Bado haijachelewa nafasi ya kufanya hivyo ipo
 
Umeandika kitu chenye mantiki. Utasikia mtu anasema "katiba hainiletei ugali nyumbani" unaishia tu kusema "huyu hana akili bali ana ugali kichwani".
Unaona kabisa watz wengi ni zero.

Wakati mwingine ni ubinafsi tu kwa sababu anaona yeye mambo yanamwendea.
 
Pengine Kariakoo na maeneo mengine kama tandika, n.k yangekuwa ni ya Serikali tusingesikia wala kuona migomo ya kutuumiza sisi walaji.

Bado haijachelewa nafasi ya kufanya hivyo ipo
Wafanya biashara na wajasiriamali hujikuta wao mambi ya Kitaifa hayawahusu kabisa.
 
Unaona kabisa watz wengi ni zero.

Wakati mwingine ni ubinafsi tu kwa sababu anaona yeye mambo yanamwendea.
Ni kweli. Bila kuwa na umoja hakuna kitakacho tokea. Kuna walamba asali (hawa wengi wanajua ukweli) kuna wasio elewa kitu (hawa ndio husema "fulani kajenga reli, kanunua ndege n.k".) na kuna wanaojielewa ambao ni asilimia chache sana kama Maghayo Darlin Dr Lizzy binti kiziwi

Ni "sharauti" tu mjue nawakumbuka msije kuvimba kichwa 😜
 
😅😅😅😅umewataja wana wako
 
WATAIPATA FRESHIII

UCHAGUZI ULIOPITA HAO WAFANYABIASHARA WALIPENDEZA KWA KUVAA KIJANI.

MPAKA WAFANYABIASHARA WAARABU NA WAHINDI WALKUWA NA KIJANI FULU MWILI MZIMA.

WAKINYUKWA HV WATADAI KATIBA MPYA

ACHA WAIPATE
 
😅😅wahindi na waaabu wote ni ccm.
Bila hivyp ardhi ya nyerere itakuwa ngumu kwao.
 
Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni watanzani wenyewe.

Yaani mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo yanajiendea endea tu...
Lipeni Kodi sidhani kama Kuna chama Cha siasa ambacho kinataka watu wasilipe Kodi ,acheni upuuzi nyie.
 
Ni kweli. Bila kuwa na umoja hakuna kitakacho tokea. Kuna walamba asali (hawa wengi wanajua ukweli) kuna wasio elewa kitu (hawa ndio husema "fulani kajenga reli, kanunua ndege n.k".) na kuna wanaojielewa ambao ni asilimia chache sana kama Maghayo Darlin Dr Lizzy binti kiziwi

Ni "sharauti" tu mjue nawakumbuka msije kuvimba kichwa 😜
Kwahiyo kumbe hatujielewi wala nini! 😂 umechomekea tu sio??

You are missed too rafiki…
 
Ni kweli. Bila kuwa na umoja hakuna kitakacho tokea. Kuna walamba asali (hawa wengi wanajua ukweli) kuna wasio elewa kitu (hawa ndio husema "fulani kajenga reli, kanunua ndege n.k".) na kuna wanaojielewa ambao ni asilimia chache sana kama Maghayo Darlin Dr Lizzy binti kiziwi

Ni "sharauti" tu mjue nawakumbuka msije kuvimba kichwa 😜
Sharauti ya kibabe sana!🤗
 
Back
Top Bottom