Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Pamoja na kwamba tuna mifumo mibaya ya uendeshaji wa Nchi bado tatizo kubwa la Tanzania ni Watanzani wenyewe.
Yaani Mtanzania mwenye level ya elimu angalau Form Four au Diploma ama tuseme hata Degree bado hawezi ku link maisha yake na siasa, uchumi, Sheria, biashara, kilimo. Yeye anaona mambo yanajiendea endea tu.
Ndio sababu wakati wakulima na wafugaji wananyanyaswa na hawa walamba asali huoni kabisa mfanyakazi wa Serikali akiguswa na jambo hilo. Hujikuta akisema Mimi hayanihusu.
Wakati wa Wanasiasa kupitishwa kwenye Tanuru la Moto Mfanyabishara anasema aah hao nao wamezidi bwana. Acha wanyohwe!!😅
Likija swala la fukuz fukuza wafany kazi au kutotoa ajira kwa vijana huona wale wasio na elimu au wasioajirika wakicheka na kusema waje wajiajiri wasibweteke na vyeti. Anasema hivyo wakati mtoto wa Baba mdogo wake kamaliza chuo na ametia nanga nyumbani.
Ni ubinafsi ubinafs, ubinafsi na roho Mbaya.
Ccm wanyoshe tu at the end tutatafuta Katiba Mpya kwa Pamoja.
Hakuna Katiba Mpya ya Bure lazima sote tusote😅😅😅