Uchaguzi 2020 CCM, michanganyo hii mwisho mtachanganyikiwa kabisa na kupoteana

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kwa ccm ambao wameamua rasmi kushikamana na 'yule aliye kinyume na Mungu' wala sio la kushangaa matendo yao.
Yanayofanyika yanaakisi kabisa kuwa yana msaada wa 'yule mwovu' kwani wenye hofu ya mUngu hawawezi kabisa kufanya haya!
 
Sikumbuki kama nilimsikia hata mmoja akilitamka neno HAKI
 
Umelitumia vibaya neno 'think tank'
Hapa bongoland hakuna mtu au kukundi kinachostahili sifa hiyo.
 
Safi kabisa ndugu yangu naunga mkono hoja , ila sikio la kufa halisikii dawa .
 
Umelitumia vibaya neno 'think tank'
Hapa bongoland hakuna mtu au kukundi kinachostahili sifa hiyo.
Dah brother tusijishushe kiasi hiki tafadhali tusijidharau kwa kiwango cha kutia aibu
 
Nadhani mkuu unakosea kwa kusema waliompigania kupata Urais, unamaanisha walifanya hivyo kwa ajili ya nafsi na matombo yao sasa wamekosa wanalalamika. Kwa hiyo kila anayeshindania nafasi fulani ya uongozi inabidi awabebe wale wote waliokuwa nao kwenye kampeni hata kama hawatoshi ktk nafasi walizonazo?
 
Inatia kichefu chefu na inakera sana. Any way inaonesha pia kwa upande wa pili kwamba ni namna gani ccm strategists walivyopungukiwa. ccm ile ya nyuma ninayoijua isingejikanyaga kiasi hiki
Si vizuri kusemea jambo ambalo hujui.
 
Ndani Ya Kamati Za Amani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…