4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Malemas kaelezea huko!Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto alieteuliwa kuwa naibu katibu bara.
Mnafikili mtaweza gusa /shindana na chama cha siasa kama Chadema ambayo kuanzia juu mpaka chini ni damu changa kwa dunia ya leo, Heche mmoja anawatoa makamsi vipi Mwenyeki wao angekuepo ?
Wenzenu wanafanya siasa za kwenda na nyakati nyie mnafanya bora liende kisa mmekamata dola kimagendo , mnategemea kuteka , kubambikia kesi za ujinga za ugaidi, na mmeruhusu kila mmoja kwenye nafasi katika uongonzi kuwa kambale ,
Mfano , mwenyekiti Uvccm , waziri , mbunge anapata wapi mamlaka kumshambulia Makamu wenu wa urais hata kama wananchi wanajua ni wa mchongo ? tokana na uchafuzi uliopita.
Wasira na wazee wa haina hii why endelea wapa nafasi kwenye chama tena za juu hampikagi vijana wenye akili ?
Kwa ujinga huu mtakalishwa sana na Chadema ,badilikeni ,nyie vipi .
Chama chochote kitegemeapo dola ni mfu period.
Thanks
Kwahiyo ukiweza kumjibu HECHE unakuwa bingwa?Ally happy sio kijana hujaona alivyokuwa anajibu hoja za Heche. Kwa Hali hiyo Wacha tuendelee kuongozwa na wazee. Ila nimeshangaa kati ya Mongella na Mwanri nanai anatakiwa kusitaafu?
Angalau anakuwa kapambana ila kwa majibh yale hamna kitu tuendelee kukaa na wazee wetu tuKwahiyo ukiweza kumjibu HECHE unakuwa bingwa?
Eti Mtoto anaongoza Jumuiya ya Waliomzaa!!!?Ally happy sio kijana hujaona alivyokuwa anajibu hoja za Heche. Kwa Hali hiyo Wacha tuendelee kuongozwa na wazee. Ila nimeshangaa kati ya Mongella na Mwanri ni nani anatakiwa kusitaafu?
Hii ni maajabu 🥱Eti Mtoto anaongoza Jumuiya ya Waliomzaa!!!?
CCM bwana..,..
Yes,Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto alieteuliwa kuwa naibu katibu bara.
Mnafikili mtaweza gusa /shindana na chama cha siasa kama Chadema ambayo kuanzia juu mpaka chini ni damu changa kwa dunia ya leo, Heche mmoja anawatoa makamsi vipi Mwenyeki wao angekuepo ?
Wenzenu wanafanya siasa za kwenda na nyakati nyie mnafanya bora liende kisa mmekamata dola kimagendo , mnategemea kuteka , kubambikia kesi za ujinga za ugaidi, na mmeruhusu kila mmoja kwenye nafasi katika uongonzi kuwa kambale ,
Mfano , mwenyekiti Uvccm , waziri , mbunge anapata wapi mamlaka kumshambulia Makamu wenu wa urais hata kama wananchi wanajua ni wa mchongo ? tokana na uchafuzi uliopita.
Wasira na wazee wa haina hii why endelea wapa nafasi kwenye chama tena za juu hampikagi vijana wenye akili ?
Kwa ujinga huu mtakalishwa sana na Chadema ,badilikeni ,nyie vipi .
Chama chochote kitegemeapo dola ni mfu period.
Thanks
Hata upikwe kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI utaonekana kilaza tu!Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo
Rejea mada Tajwa hapo juu
Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza mpaka kujaza wazee kwenye safu ya uongozi wa chama chao, mfano Wasira na uyu mzee wa Toronto alieteuliwa kuwa naibu katibu bara.
Mnafikili mtaweza gusa /shindana na chama cha siasa kama Chadema ambayo kuanzia juu mpaka chini ni damu changa kwa dunia ya leo, Heche mmoja anawatoa makamsi vipi Mwenyeki wao angekuepo ?
Wenzenu wanafanya siasa za kwenda na nyakati nyie mnafanya bora liende kisa mmekamata dola kimagendo , mnategemea kuteka , kubambikia kesi za ujinga za ugaidi, na mmeruhusu kila mmoja kwenye nafasi katika uongonzi kuwa kambale ,
Mfano , mwenyekiti Uvccm , waziri , mbunge anapata wapi mamlaka kumshambulia Makamu wenu wa urais hata kama wananchi wanajua ni wa mchongo ? tokana na uchafuzi uliopita.
Wasira na wazee wa haina hii why endelea wapa nafasi kwenye chama tena za juu hampikagi vijana wenye akili ?
Kwa ujinga huu mtakalishwa sana na Chadema ,badilikeni ,nyie vipi .
Chama chochote kitegemeapo dola ni mfu period.
Thanks
Sure mkuuHata upikwe kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI utaonekana kilaza tu!
Sure chama daily tengeneza vija vilaza , lakini je ni kwa bahati mbaya ? Jibu ni makusudi ,Wawatoe wapi...!?? Ndiyo maana wanaokoteleza rejects kutoka CHADEMA kama Mtela Mwampamba na Yeriko Nyerere
Hu puuzi kumbe wakina Katambi , n.k nizao la chadema , why mlio ccm hampewi nafasi ila watokao chadema wanapewa vyeo mpaka uwaziri ,hamjiulizi kwamba vijana wa ccm ni vilaza , yani Mgeni anakuja kwako unamkabidhi mpaka chumba chako cha kulala na mkeo then useme kuna hakili pale, hivi unajua Katambi anaweza kuwa ccm mchana ila usiku anaijiwa na ndoto nyingi za mabadiko katika taifa lake?Sasa chadema ina vijana gani
QAu wafikili viapo vya Tiss Vinaweza mbadilisha mtu katika imani ya moyo wakeHu puuzi kumbe wakina Katambi , n.k nizao la chadema , why mlio ccm hampewi nafasi ila watokao chadema wanapewa vyeo mpaka uwaziri ,hamjiulizi kwamba vijana wa ccm ni vilaza , yani Mgeni anakuja kwako unamkabidhi mpaka chumba chako cha kulala na mkeo then useme kuna hakili pale, hivi unajua Katambi anaweza kuwa ccm mchana ila usiku anaijiwa na ndoto nyingi za mabadiko katika taifa lake?
Igalagazwe mara ngapi mkuu, leo uchaguzi unaitishwa upya chukua chukua kiongozi toka mkoa wowote tz kwenye kata / mtaa /kijiji aje angombee urais achana na Heche, lissu , saa nne mbali , nakuapiaSi ndio vizuri ili CCM igalalazwe?
Unaongea nini mkuu😅😅Igalagazwe mara ngapi mkuu, leo uchaguzi unaitishwa upya chukua chukua kiongozi toka mkoa wowote tz kwenye kata / mtaa /kijiji aje angombee urais achana na Heche, lissu , saa nne mbali , nakuapia