CCM mjitafakari. Hamna vijana mliowapika ili kuweka chama chenu kwenye ushindani wa kisasa na CHADEMA?

Baelezeee.. Baelezeee!:
UVCCM yule ndiyo Bure kabisa anajua Kuimba Taarabu tu kwenye Mikutano ya CCM na kunyoa kiduku.
 
Hamna pale chama, nawashauri wema,
WASIRA na wazee wa haina hii. Hakuna hoja ya kuafanya Chadema kuilaza mdomo wazi .

Baraza la Mawaziri hata kama ni mchongo kwa mjibu wa wenyeinchi ,watu kama Mtaka R.c njombe n.k walitakiwa kuwa ndani.

Watu smart ndo wanahitajika
 
john heche kitu pekee alicho nacho ni ujasiri wa kuzigombeza mamlaka za serikali ila ana changamoto za kutokuwa na taarifa sahihi na wanachadema wengi wa sasa wana ugonjwa wa kutokuwa na taarifa sahihi ndio maana wanajikuta wanadandia sinema za CCM
wakati wa Dr Slaa sijui ni wakina nani walio kwenye mfumo ambao walikuwa wanawapa wakina Slaa nyepesi nyepesi ? kwa sasa inaonekana kuna watu waropokaji ropokaji kwenye Vyama vyote vya siasa.

cc ShesRise_1 kwa taarifa
 
Ndugu usichojua Katambi ni zao la CCM Huyajui mapandikizi🤣🤣🤣
 
Ndugu usichojua Katambi ni zao la CCM Huyajui mapandikizi🤣🤣🤣
Wenda ila kalelewa chadema , uzuri namjua vizuri tu mpaka Baba yake aliekua co ,moja ya kutuo ka dini pale shinyana mjini ,so namfahamu vizuri
 
Ally happy sio kijana hujaona alivyokuwa anajibu hoja za Heche. Kwa Hali hiyo Wacha tuendelee kuongozwa na wazee. Ila nimeshangaa kati ya Mongella na Mwanri ni nani anatakiwa kusitaafu?
Umejibu ujinga , mizee akili ndogo inakalia viti ,nyie vijana mpo tu imba ccm mbele kwa mbele wapumbavu kweli , siasa za sasa zataka mchakamchaka , sasa Mzee wa Toronto atafanya nini kwenye kizazi ichi cha Gz ,
Ccm hakili hamna kazi tu fanya ujinga ,ujinga tu
 
hakili au akili ?
 
Chama kimenganganiwa na wazee vijana wamewekeza kwenye uchawa
 
Ccm kuna category za wanachama kama tatu au Nne hivi
1. Madoni wenye akili nyingi( Washikadau) hawa ni vipanga, idadi Yao ni ndogo lakini ndio wenye Nchi.
2. Wastani, hawa ni opportunists, wajanja wa mjini, wacheza na Fursa humu kuna makundi mbali mbali
3. Wapiga kelelez debe tupu
 
Umeongea ukweli mkuu , sasa may be ndo maana imebaki debe tupu, chama kimekua cha kijinga sana ,vijana mlioko huko jitafakari sana
 
Vijana wenyewe hatupendani, wivu mkubwa tumelithishwa itikadi na hisia hatari dhidi ya opponents wetu Kuna haja gani ya kupewa nafasi?. bora waendelee tu wenyewe sababu sisi hatuna uwezo wa kujenga hoja kishindana kwa hoja hata wakitupa bunduki tutauana sababbu hatuna maono zaidi tunatumika kupush wengine tu.
 
Dar umeongea kwa uchungu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…