CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
Hahahaha😂😂😂
 
Ukipandikizwa uume pale Mloganzila utaitwa?..........

Ukikuzwa makalio pale Mlogazila yataitwa?.............
 
Sina mengi hizi Trillion 107 ni deni la Mama SI la Taifa. Kwasababu Miradi yote ya maendeleo mlisema mama katoa. Iweje Leo mtuambie ni deni la Taifa?
Sawa ni deni la Mama, then what!
 
Hivi Kuna mtu humu ndani anaweza kutupa mchanganuo mjarabu hizo pesa zilizo kopwa zimekwenda kwenye miradi gani ..


Nb. Deni ni la Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…