antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Yap,Wakitoa pesa za Miradi" Mama katoa" ikifika kwenye deni utasikia deni la Taifa. No plz, Tafadhali 107Tr. ni deni la Mama .
Tatizo ni kundi la wajinga lililopo ccm. Sijui hata kama wanaelewa tofauti!Sina mengi hizi Trillion 107 ni deni la Mama SI la Taifa. Kwasababu Miradi yote ya maendeleo mlisema mama katoa. Iweje Leo mtuambie ni deni la Taifa?
imeenda hiyo!Sina mengi hizi Trillion 107 ni deni la Mama SI la Taifa. Kwasababu Miradi yote ya maendeleo mlisema mama katoa. Iweje Leo mtuambie ni deni la Taifa?
Ngapi hukooo.....107 ngapi 107.kama wanakusoma CCm na chawa hapa kwa umakiniView attachment 3367929
Kwa uchache:Hivi Kuna mtu humu ndani anaweza kutupa mchanganuo mjarabu hizo pesa zilizo kopwa zimekwenda kwenye miradi gani ..
Nb. Deni ni la Mama.