CCM mnajua kunivuruga. Niliwapenda, niliwakubali lakini sasa inatosha

Leo ndio umekili Magufuli alishinda kwa Mbinde. 2020 ndio kabisa asingeshinda. Mungu kqmnyanganya urais aliokuwa hastahili Kampa Mama.
 
I Cyprian Musiba ukome kumtetea yule Mwendazake mwizi, mwongo, muuaji na mkandamiza demokrasia
 
Kwaiyo unataka mama hasiwashughulikie majambazi wenzio kina Sabaya
 
Inasikitisha kuona wanaCCM wanachukizwa na maamuzi ya mwenyekiti na mama yetu. Sijui kwanini hawanywi sumu walifuate lile dubwasha....
Babuuuh acha kumdhihaki mwendazake, hata km hukupendezwa nae, basi tumia hekima na busara ktk kuonesha chuki nae, sorry lakini.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu siyo kweli kwamba mheshimiwa rais anafuata ushauri wa mitandaoni.
Rais ana vyombo vyake madhubuti vinavyompelekea taarifa sahihi.
Watanzania wameumia sana, tumechoka, acha mama afanye kazi tupate faraja.
Kama upo serikalini jitahidi kutumikia jamii kwa uadirifu maana huijui kesho yako.
 
Wewe Sabaya ni mpuuzi...kwahyo unataka utumie cheo ujiachie kufanya uharifu wenu huru kabisaa

Mama Samia kaza kabisa mpaka mataga waende wakajiajiri waache kutegemea posho
 
KILIO CHA YATIMA by Ali Choki & The Band [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ulilipenda Jiwe siyo CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…