CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

maulid Seleman

Mh...hapana aisee kama unastress zako unakutana na sample hizi unaweza kujikuta unasema nishushe kwa mtogole hapo ukifikiri uko kwa daladala
 
Mbunge kasema sawa kabisa kama ndio hao kwenye hiyo picha
 
Nakumbuka Mwakyembe alishauri washiriki wa miss Tz,wale top wapewe hilo shavu la "air hostage"
Kwa kweli wapewe tu huo u "Air Hostage" ha ha haaaa utaniuaaaa!
 
Mhudumu wa ndege anasura na shepu kma le mutuz au wakudavadua sura ya kike sauti ya kiume
 
Hizi picha nadhani ni za ATCL ya mwaka 47. Enzi hizo inaitwa ATC. I can see those shoddy colours. Now it's different. Nadhani mmeletewa picha up to date tayari. Tatizo la haka kabiashara kana ubaguzi wa wazi kabisa. Mara, awe mrefu, mwembamba, na some other criteria zinazo wa knock out dada zetu wasio warefu, warembo, nk. Na kama inavyojulikana waTz si warefu kihiiiiivyo. Ona recent pics like,...
Here they are [emoji23] [emoji23]
View attachment 1256523
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…