CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

Vitoto vya Emirates na Ethiopia viko poa kuangalia
 
Point anayo labda maneno katumia makali sana. Kila kazi na vigezo vyake, tusilazimishe walinzi kuwa wapishi.
 
Sehemu yoyote ya kutumia pesa asilimia kubwa ya wahudumu wanatakiwa wavutie yupo sahihi
 
Hii kauli aloyoitowa huyu mb siyo kabisa

Ova
 
Hivyo vigezo ni vya kampuni gani? weka link hapa.Nyie ndiyo mnafanya wadada wajipige mkorogo na kuvaa nywele za maiti kujiona wana mvuto kumbe mavi tu.
 
Huyo mbunge angetoa mfano wa sura mbaya miongoni mwa baadhi ya wabunge wenzake hapo mjengoni.
Ameonyesha mapungufu makubwa mno katika uelewa wake kuhusu usafiri wa anga na huduma za kwenye ndege.
Wahudumu wa ndege si wahudumu wa hoteli au madanguro kwamba uzuri wa sura ni kigezo pekee katika kuajiriwa kwao.
Hawa ndio aina ya watu ambao hutupa watoto mara tu baada ya kuwazaa kisa wameona sura ni mbaya.
 
Wengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Mkuu wasukuma tumekukosea nn jaman,.. subiri wewe dawa yako nikukuroga tu.
 
Kwa picha hiyo hapo juu kweli hawana mvuto kabisa biashara lazima iwe na mvuto bana waweke pisi kali
 
Wahudumu wa ndege!!
 

Attachments

  • Flight-attendants-air-hostesses-sure-dressing-to-impress-780x405.jpg
    29.1 KB · Views: 2
Hahahahahahahaaa mzee baba umeniacha hoi et "matinginya"
 
Magu kajaza air hostes wasukuma ATCL....
Ulishawahi Ona msukuma Mzuri?
 
Hivyo vigezo ni vya kampuni gani? weka link hapa.Nyie ndiyo mnafanya wadada wajipige mkorogo na kuvaa nywele za maiti kujiona wana mvuto kumbe mavi tu.
Hatujasema wajipake mkorogo ,kwanza black is beuty .Panda Kenya airway uone jinsi wasichana weusi walivyo warembo ,well dressed,wanaunene au wembamba unaokubalika ,urefu ,nyele zimekatwa kipilili kimechanya vizuri zimewekwa mafuta ya Nazi,no vitambi kama hawa wakwetu utafikiri wanalishwa junk food na hawana nutritionalist wa kuwasaidia wale vipi,mazoezi nk.
 
Huyo mbunge ana miaka 50, anamtaka mkijana mwenye mvuto wa hiyo age ya 18-21 wa nini?
Sio lazima wa hiyo age ,ni standards tu .Nikama ilivyo kustaafu jeshini ilivyo na different categories na vyeo.Hukiwa na cheo kidogo ukifika 45 unastaafu ,ukiwa professional kama Docta nk unapandishwa cheo ili ustaafu kwenye category ya 60 nk.Hizo ndizo standards zao.Kwa aviation ,nao wana standards mpaka ya mapilots ,ukikuta pilot amevaa miwani hiyo ndege usipande hizo ndio standards
 
Link uliyopata hivyo vigezo ulivyovielezea.
 
Mbona kuna miwani za ma pilot?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…