Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vigezo ni vya kampuni gani? weka link hapa.Nyie ndiyo mnafanya wadada wajipige mkorogo na kuvaa nywele za maiti kujiona wana mvuto kumbe mavi tu.Jamani biashara ya airline ni kama biashara nyingine.Huwa zina standard zake kwa kila kitu kuanzaia chakula,ulinzi ,usalama ,mavazi nk.Na kuna vyuo au sehemu ya kutoa mafunzo kwa ajili ya vitu vyote vinavyohusiana na biashara ya ndege.Sasa ,mbunge yuko right kabisa,wale wanaoajiriwa wawe katika standards zinazokubalika kutokana na biashara yeneyewe inavyosema mfano wanataka
Physical Standards
Minimum height requirement is 157 cm (for females) and 170 cm (for males). This requirement may differ from one airline to another. Weight of the candidate should be in proportion to his/her weight. Spotless skin complexion will give candidates an edge
OR
Sasa tusidanganyane hizo hapo ni baadhi tu ya standards na hizo zinawekwa ili kuweza kukabiliana pia na majanga yanayotokea kwenye ndege especiaaly kama kuna mtu either mgonjwa na anaitaji kubebwa,or kufunga cabin za ndege unahitaji mtu mrefu nk.So kuwa mrembo au la akifikia hivyo vigezo lazima atameet hiyo ya urembo.Hata namna anavyojiweka .Hivi kweli ukute ameweka "rough dread" au twende kilioni ya ajabu kabisa imefumuka left right au mawigi kama yale ya akina "wema" anafanyaje kazi lazima awe mbaya.Mbunge mimi nakuunga mkono kabisa
- Minimum age: 18 to 21 years, depending on the airline.
- Height: 4ft 11in and 6ft 3in, or 150cm and 190cm, tall. ...
- Weight: Just be a “healthy weight” for your height!
- Reach: 208cm (on tippy-toes if you have to!)
- Vision: 20/30, with or without corrective measures.
NyanokoWengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Moshi kuna warembo gani wale wenye miguu kama miti na meno yenye kutu kama kashata pia na maumbo kama simba dume? Pole sana .Wengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Mkuu wasukuma tumekukosea nn jaman,.. subiri wewe dawa yako nikukuroga tu.Wengi wa hao ma air hostess itakuwa ni wasukuma, maana wasukuma wana masura mabaya na hawana mvuto hata kidogo.
Ebu waende moshi wakachukue warembo kule
Mbona wa KLM karibu wote ni zaidi ya miaka 40!! tena wengine
ni futi 5 "2 au "3.
Hahahahahahahaaa mzee baba umeniacha hoi et "matinginya"Tatizo tunaiga vigezo vya ulaya kuchukua warefu wembamba, vimiguu kama nondo.
Wakati sisi tunapenda matinginya, yaliyojazia makalio. Miguu ya bia, mkia ulio jazwa ukajaa. Hivyo ndio vigezo vya kiafrika.
Wanaume hatuangalii sura hata awe mzuri vipi sisi tunaangalia mzigo nyuma, we love meat especially lamb tail, came on guys let's be honest.
Warudishe miss bantu, washindi waajiriwe siku hiyo hiyo.
Abiria wanapiga miruzi toka JKNA hadi Mwanza. Ukisikia abiria kapitiluza kituo bila kujijua ndio hii sasa.
Ndege za msukuma, vigezo vya wahudumu viwe vya kisukuma pia.
Hatujasema wajipake mkorogo ,kwanza black is beuty .Panda Kenya airway uone jinsi wasichana weusi walivyo warembo ,well dressed,wanaunene au wembamba unaokubalika ,urefu ,nyele zimekatwa kipilili kimechanya vizuri zimewekwa mafuta ya Nazi,no vitambi kama hawa wakwetu utafikiri wanalishwa junk food na hawana nutritionalist wa kuwasaidia wale vipi,mazoezi nk.Hivyo vigezo ni vya kampuni gani? weka link hapa.Nyie ndiyo mnafanya wadada wajipige mkorogo na kuvaa nywele za maiti kujiona wana mvuto kumbe mavi tu.
Sio lazima wa hiyo age ,ni standards tu .Nikama ilivyo kustaafu jeshini ilivyo na different categories na vyeo.Hukiwa na cheo kidogo ukifika 45 unastaafu ,ukiwa professional kama Docta nk unapandishwa cheo ili ustaafu kwenye category ya 60 nk.Hizo ndizo standards zao.Kwa aviation ,nao wana standards mpaka ya mapilots ,ukikuta pilot amevaa miwani hiyo ndege usipande hizo ndio standardsHuyo mbunge ana miaka 50, anamtaka mkijana mwenye mvuto wa hiyo age ya 18-21 wa nini?
Link uliyopata hivyo vigezo ulivyovielezea.Hatujasema wajipake mkorogo ,kwanza black is beuty .Panda Kenya airway uone jinsi wasichana weusi walivyo warembo ,well dressed,wanaunene au wembamba unaokubalika ,urefu ,nyele zimekatwa kipilili kimechanya vizuri zimewekwa mafuta ya Nazi,no vitambi kama hawa wakwetu utafikiri wanalishwa junk food na hawana nutritionalist wa kuwasaidia wale vipi,mazoezi nk.
Mbona kuna miwani za ma pilot?!Sio lazima wa hiyo age ,ni standards tu .Nikama ilivyo kustaafu jeshini ilivyo na different categories na vyeo.Hukiwa na cheo kidogo ukifika 45 unastaafu ,ukiwa professional kama Docta nk unapandishwa cheo ili ustaafu kwenye category ya 60 nk.Hizo ndizo standards zao.Kwa aviation ,nao wana standards mpaka ya mapilots ,ukikuta pilot amevaa miwani hiyo ndege usipande hizo ndio standards
Hao ni wazuri au rangi ndo zinawabeba?Wahudumu wa ndege!!