CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,859
Reaction score
2,894
Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari

Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo taratibu kuna mbegu mnaipanda subirini iote ili mjifunze maana AMANI bila HAKI imesha wapumbaza basi mnawaona watanzania wapumbavu.
 
Katoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.
Kwanza hujui tofauti ya dini na dhehebu. Dini ni kristo, theheb catholic
Fornthe record wangekuwa na udin wasingeweza kumkemea magufuli, matter of fact ni wao na lutheran kwa vipind tofauti walimkemea magufuli

Wengine walikaa kimya
 
Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari

Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo taratibu kuna mbegu mnaipanda subirini iote ili mjifunze maana AMANI bila HAKI imesha wapumbaza basi mnawaona watanzania wapumbavu.
Mkuu

Nani kaingiza dini? Ccm au TEC?

Waislamu waliongea mkawatukana sana
 
Hili kanisa katoliki shuleni tulifundishwa kwamba ni agent wa colonialism. Liliwalisha, likawatunza wakoloni leo wanajifanya watu wema
 
Screenshot_20250421-094223_ChatGPT.jpg
 
Wajerumani waliokuwa wakoloni wa kwanza kufika Africa walikuwa Walutherani, sio Wakatoliki. Wakoloni wa Uingereza walikuwa Anglican.
 
Vip waarabu mlikua ni agent wa nn we kilaza unaejitoa akili?
 
Ccm wanachificha kwenye chaka la udini badala ya kuwajibika. Haki ipo juu ya kila kitu.
 
Wajerumani waliokuwa wakoloni wa kwanza kufika Africa walikuwa Walutherani, sio Wakatoliki. Wakoloni wa Uingereza walikuwa Anglican.
Screenshot_20250421-094223_ChatGPT.jpg

Haki watowayo wakatoliki tangu Enzi na enzi
 
Mimi ni mwislam lkn naunga mkono TEC, penye haki na pasemwe, mistake huruma ya waislam wkt mmejaa uovu,

Wanaodhulumiwa siyo wakatoliki pekee. Kwa kweli TEC imewasemea watanzania wote wanaoitafuta haki.

Ali Kibao RIP iliyetekwa na kuuawa kinyama, alikuwa mkatiliki? Kwenye engua engua ya Mchengerwa mwaka 2024, walikuwa wanaenguliwa wajatoliki pekee, wauslam waliachwa? Nchimbi aliyesuka mipango ya kukamatwa Lisu, siyo mkatoliki? Wasira anayepita nchini kote akikataa uwepo wa mifumo ya kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki, siyo mkristo?

Wanaoleta hoja ya udini kwenye tamko la TEC, kwa kweli ni vichaa.
 
Back
Top Bottom