Udini unao weweKatoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.
Udini unao weweKatoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.
Ushauri mzuri huna budi kupokelewa haijalishi umetolewa na nani. Ila kujificha kwenye kichaka cha udini badala ya kujibu hoja kwa hoja hilo halifai.Kweli?
Wanatafuta kichaka tena kibaya sana. Maana kuungua moto ni rahisiNaona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari
Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo taratibu kuna mbegu mnaipanda subirini iote ili mjifunze maana AMANI bila HAKI imesha wapumbaza basi mnawaona watanzania wapumbavu.
Hisia za udini zinaletwa na watu kama nyie.Katoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.
Hayaaa,wasiosikia la mkuuu hunjika guuuu.Katoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.