Kwanza hujui tofauti ya dini na dhehebu. Dini ni kristo, theheb catholicKatoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.
MkuuNaona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari
Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo taratibu kuna mbegu mnaipanda subirini iote ili mjifunze maana AMANI bila HAKI imesha wapumbaza basi mnawaona watanzania wapumbavu.
Vipi shura ya maimamu nao wan udini sana?..Katoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.
Wajerumani waliokuwa wakoloni wa kwanza kufika Africa walikuwa Walutherani, sio Wakatoliki. Wakoloni wa Uingereza walikuwa Anglican.Hili kanisa katoliki shuleni tulifundishwa kwamba ni agent wa colonialism. Liliwalisha, likawatunza wakoloni leo wanajifanya watu wema
Vip waarabu mlikua ni agent wa nn we kilaza unaejitoa akili?Hili kanisa katoliki shuleni tulifundishwa kwamba ni agent wa colonialism. Liliwalisha, likawatunza wakoloni leo wanajifanya watu wema
Kijana naona unajitahdi sana kupigania ugali wako ili uendelee kula kwa urefu wa kamba yako masikini wa akili wewe.
Wajerumani waliokuwa wakoloni wa kwanza kufika Africa walikuwa Walutherani, sio Wakatoliki. Wakoloni wa Uingereza walikuwa Anglican.
Mimi ni mwislam lkn naunga mkono TEC, penye haki na pasemwe, mistake huruma ya waislam wkt mmejaa uovu,
Kweli?Ccm wanachificha kwenye chaka la udini badala ya kuwajibika. Haki ipo juu ya kila kitu.
Wakati wa JPM walipomuonya (mkatoliki mwenzao) nao ulikuwa udini?!.Katoliki wana Udini sana. Hizo propaganda zao wapeleke ROMA.