CCM msipombadilisha Rais Samia, Tanzania inaenda kusambaratika ndani ya Uongozi wake

Kufeli kupambana na Ufisadi, kushindwa kulinda uhai wa watz nini maana ya kutaka kuwa kiongozi wakati haya umeshindwa kupambana nayo
 
Serikali iko chini ya majeshi ya ccm, nchi utaiona hivyo hivyo mpaka unaenda kaburini.

Hao walioko kwenye majukwaa hawaendeshi nchi hii, kajifunze urudi urekebishe uzi wako.
Haya unayoyaongea yanatakiwa yaongewe na mtu mbumbumbu asiyepita shule.

Mambo madogo ya current affairs kama Rais wa Bangladesh kufurushwa mwaka jana kwa maandamano tu, wewe hakukupi cha kujifunza?

Hapakuwa na jeshi huko?
 
Hiyo ni mawazo Yako tuu,ingekuwa hivyo tungeshaona kama ilivyokuwa awamu ya 5 ila hatujaona mbona.

Hakuna kitakachofanyika sana sana turnout ya kupiga kura ndio itakuwa ndogo.
 
Ukweli mchungu sana huu.
 
Baad ya uchaguzi muu tunamweka Jakaya Mrisho Kikwete anakuwa Mwenyekiti CCM na mama Samia Suluhu Hassan anaendelea kuwa Rais mpaka 2030.

Hapo ssa!
 
We mbwa koko uko sukuma gang mtakufa kifo cha mende. Samia atashinda kwa kishindo, yuko ndani ya mioyo ya watanzania we ngedere huna impact yyte. Eti jinsia yake, unatafuta mb.o? Mtu ameifanyia nchi hii mambo makubwa sana namna hii? Mtashindana na Samia ila hamuwezi kushinda
 
Unatafuta kulogwa na Chawa wewe
 
Hapa ni jeshi kuwa tayari kwa vikundi vya kigaidi vitakavyotumia mwanya wa vurugu kujipenyeza nchini
 
Chawa kapuku tafuta kazi
 
Nchi ina utajiri mwingi sana wa rasimali, waarabu, wachina na wazungu wanaitamani, wasije wakatumia mwanya wa vurugu kupenyeza kibaraka wa kuja kulinda maslahi yao. Tayari wengine wamewekeza miradi yao kwa mikataba yenye utata na watapambania maslahi yao hakuna wa kuyatishia kuvunja mikataba tata
 
Ccm ndiye mkoloni wa pili mnyonyaji aliyemwachia nchi tukibahatika kumwondoa safari hii mazongezonge yote yataisha kwenye nchi hii.
INAWEZEKANA TUKIPATA KATIBA MPYA NA ITAKAYOMPUNGUZIA MAMLAKA MAKUBWA ALIYOPEWA RAIS NA KATIBA YETU MAMLAKA YANAYOKARIBIANA NA mungu kila kitu anaamua yeye ana teua yeye hadi wakurugenzi wa halmashauri, MADASI, anamua yeye hata kama siku hiyo ameamka na stress.
 
Sisi tunasema huko CCM hakuna mwingine anayekubalika zaidi ya Samia,maana watu wamemchoka
Mbona Magufuri kalibu kila mtu alimpenda na hakutumia nguvu kulamisha watu wampende
Watu unaowasema wewe ni hawa wachache wajinga waliomo humu, sio mamilioni ya wapiga kura wanaozifahamu kazi yake.
 
Kapige kura Oktoba 2025 punguza hasira za kitoto hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…