Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Ulimboka haikuwa nzuri lakini ilikuwa kama tukio moja, la Mwembe Chai inategemeana upo upande gani na lipo ya Bucha za Nguruwe au nini na sababu zake ni zipi ukilinganisha na hili la maneno TuDr.Ulimboka!mwembe chai
Ni yeye..Wenyewe ndio wanapoteza, huyo mnaye mlaumu katiba inasema ni alama tu ya taasisi, jiulize watawala ni kina nani?
kwahiyo kumbe tatizo lenu ni samia wala sio mageuzi ya tume ya uchaguzi?Mimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake, Uzanzibar wake, na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamu wanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani.
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani.
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya serikali.
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi maana hata kama CCM watatumia watu maarufu, wasanii, Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka.
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya, vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda.
nyie sindomlisema maguful ni dictator akina saanane walipotea kipindi kipi?Sisi tunasema huko CCM hakuna mwingine anayekubalika zaidi ya Samia,maana watu wamemchoka
Mbona Magufuri kalibu kila mtu alimpenda na hakutumia nguvu kulamisha watu wampende
Stupid, usiwe mentioned wewe ni nani?Acha kuni mention kwenye pumba muda wa kusoma hilo gazeti haupo
Wakati nikikubaliana na mengi uliyo andika kwenye mada yako, kamwe sikubaliani na mengine, hasa kama kichwa cha mada kilivyokaa:Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya, vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda.
Wewe una akili kama za kenge 100%VIJANA wakishiba sana pia tatizo wanalala na ndoto zao walizowaza mchana au kuongea sana iyo siku !!
kila siku wanakuja na Story za kuwafurahisha na maono ndoto sio ajabu kijana mwengine akaja na kutwambia Lisu Tayali ndio Rais amemuona akikagua gwaride Uwanja wa Uhuru!!!!!
Utoto sio ugonjwa wakikuwa Wataelewa CCM ni alfa na umega awa awa watoto wanaokichafua umu leo baada ya miaka 30 watakua CCM kindaki ndaki!!!
leo wanasaau kama kususiwa CCM washasusiwa na akuna chochote Wasusajii walipata !!!
CCM wamejipanga kias akuna Upinzani wa aina yoyote utawasumbua utanipuuza lkn utaelewa uko mbele kwann nimeandika ivi ukubwa dawa!!!
Lisu anateseka bure akuna chochote Upinzani utanufaika kwa yeye kukaa ndani kipindi ichi!!!
kimsingi Upinzani umejivua nguo wenyewe kwa kukubali kipind cha Rais JPM RIP kuamia CCM kutoka Upinzani walipokuwa kile kitendo kimeuwa nguvu energy ya Vijana wengi Tanzania !!!
Mfano Mbeya vijana wengi wamekasilika na wameamia CCM !!
nina rafiki zangu walikuwa CHADEMA na ndio walikuwa wanalinda kula usiku na mchana apo Mbeya !!!
wengi leo wamajisajili CCM yani CCM Mbeya aijawai sajili vijana wengi kama kipindi ichi !!!
waliokuwa wanasupport Upinzani nchi kote fikiria vijana walikesha vituoni kulinda kula siku adi 7 afu Mgombea anaamia CCM !!!
ndiomana ata Vijana wakuandamana kwasasa akuna waliobaki awa watoto wenyekuota Usiku asubui mbio kuja kuanzisha UZI !!!!
ukweli Upinzani itawachukua miaka 20 au 25 ijayo japo wapate Support ya Wananchi kama ile ilikuwa kabla ya Rais JPM RIP !!!!
narudia Lisu kukaa kwake ndanI ni kujitesa tu akuna mavuna yoyote yatapatikana !!
tofaut na arakat zake izi angefanya baada ya miaka 25 uko mbele pengine angepata Support kubwa ya wananchi vuguvugu lingekuwa kubwa kuliko sasaivi !!!
kwasasa Upinzani upo ICU ujumbe huuu ni kwaajili ya watu wenye umri kwanzia miaka 30 to 80 ndio wataelewa kwann Upinzani upo ICU !!!
kelele za Chedema No + No zitaisha wkt Kampeni zikianza CCM itajaza watu kwenye mikutano yao kias No + No itayayuka kama barafu kwenye maji ya Moto.!!!
Mwisho vijana punguzeni kuwatukana wakubwa wenu !!!
kampeni zikianza ndio mtajua mkubwa ni mkubwa na CCM ni Alfa na Omega
Kuwa makini kutukanatukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaakoStupid, usiwe mentioned wewe ni nani?
Hutaki kuwa mentioned, acha kuposti ujinga wako humu, potea na usionekane tena humu na hakuna mtu wa kukufuata nyumbani kwako au kwenye vyumba vyenu vichafu vya Lumumba..!!
Kama hutaki kutoka humu, basi nakutaka ujibu swali hili👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 haraka na sasa hivi:
Matokeo ya kura za Urais wa Magufuli na sasa Chura Kiziwi uchaguzi mkuu 2020 jimbo kwa jimbo yako wapi? Kwanini NEC haijayatangaza kwenye platforms za serikali ikiwemo tovuti ya Tume yenyewe kama sheria inavyotaka kuwa ndani ya miezi mitatu mara baada ya mshindi wa Urais kutangazwa, Tume ya Uchaguzi itapaswa kutangaza matokeo ya kura za uchaguzi wa Rais Jimbo kwa jimbo katika gazeti la serikali na ktk tovuti ya Tume?
Unajua hili kweli wewe? Au ni mbwambwa mnaoambiwa na mabwana zenu mbweke tu kama vichaa?
Chama kipi "kimempa ridhaa". Kwa utaratibu upi? CCM ina nguvu kihalali kwa sasa? Unazungumzia CCM ipi; inayo tumiwa jina lake na Genge linalomshikilia Samia, au CCM ipi?👉🏽 Hoja muhimu hapa ni: Samia hakujichagulia kuwa Rais. Mfumo wa kikatiba ulimweka hapo, na chama kilichompa ridhaa bado kina nguvu kihalali kwa sasa.
Labda wewe ni mgeni Tanzania hii, ila sisi wenyeji hatujawahi kuona watanzania wakiishinda serikali, nitasubiri nione, na hili likitokea nahama nchi.
Watanzani hawa hawa wanaoogopa mabomu ya machozi au watanzania gani unaowaongelea wewe?
Waingereza wana msemo wao kwamba "there is more than one way of skinning a cat."
Hapa umewasemea watu Ukiwa kiongozi huwezi kupendwa na watu wote na huwezi kuchukiwa na watu woteWe mbwa koko uko sukuma gang mtakufa kifo cha mende. Samia atashinda kwa kishindo, yuko ndani ya mioyo ya watanzania we ngedere huna impact yyte. Eti jinsia yake, unatafuta mb.o? Mtu ameifanyia nchi hii mambo makubwa sana namna hii? Mtashindana na Samia ila hamuwezi kushinda
CCM wanajitanya hawana AKILI TIMAMU,Mashehe wenye Akili TIMAMU wameongea kuhusu HAKI,Maaskofu ,mapadri ,wachungaji wote wenye Akili TIMAMU wameongea,sasa tunasubiri nani aongee,maana wakati mwingine waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa.Mimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake, Uzanzibar wake, na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamu wanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani.
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani.
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya serikali.
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi maana hata kama CCM watatumia watu maarufu, wasanii, Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka.
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya, vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda.
Kwa maana hiyo, unatuhimiza waTanzania tukubali siasa za "utekaji, upoteaji wa watu na kuuawa watu" kwa sababu za kisasa? Kwa nini kati yenu hili jambo ni kama halipo kabisa?Hatuwezi kukubali wanasiasa wachache au hoja za chuki kuteka ajenda ya taifa zima.
Unajuwa wazi kabisa, njia bora kabisa za kuzitatua hizo unazoziita changamoto ni rahisi kabisa: Fanya marekebisho husika, ili uchaguzi ufanyike katika mazingira tulivu, HURU na ya HAKI, ili waTanzania wakawachague viongozi wao kwa uhuru kabisa, bila ya mizengwe yoyote.Ndiyo, kuna changamoto za kisiasa. Lakini njia ya kuzitatua si kutabiri vita, maangamizi, au mfarakano wa kidini.
Kikwete alijitahidi sana kuishi na kila aina ya wakosoaji. Pongezi kwakeMimi siyo nabii wala mtume, lakini huwa nairuhusi akili yangu iamue haki hata kama itaniumiza mwenyewe
Ukweli Rais Samia anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani wakati hakubaliki
Kuanzia Uanamke wake, Uzanzibar wake, na hata style yake ya uongozi
Hapa siwezi kuzungumzia dini ingawa kuna baadhi ya Viongozi wa dini hasa Waisilamu wanajallibu kwa maslai yao kwa makusudi kumtetea kwa kisingizio cha kuvuruga amani.
Sasa unajiuliza nani anayevuruga amani.
Rais samia na Serikali yake ambayo kila siku watu wanatekwa na kuuwawa pasipokuwa na majibu au wale wanayepingana na kuilazimisha Serikali itende haki kama Gwajima?
Au ni Tundu Lissu anayetaka Tanzania iingie kwenye uchaguzi ikiwa na Tume huru ya uchaguzi isiyopendelea upande wowote
Au samia anayetaka tuingia kwenye uchaguzi kwa sheria zinazompendele yeye?
Hili jibu ambalo linajibiwa na serikali kwa kuwakamata tena wanaotaka haki ndilo linalojenga chuki kubwa dhidi ya serikali.
kiujumla CCM imechafukwa,Inakataliwa waziwazi,Viongozi wanalazimisha kuwahonga watu wawapende,
tunaenda kuona chuki kubwa kabisa katika kipindi cha uchaguzi maana hata kama CCM watatumia watu maarufu, wasanii, Mapolisi wanaenda kukutana na aibu kubwa kabisa ya kuzomewa kutukanwa na hata kupatwa na madhara makubwa,niseme naende kuona inchi ikilipuka.
Na hata baada ya CCM kushinda kwa hila tutaenda kuona mauaji yakiongezeka,wapinzani wakitendewa vibaya, vita kati ya Kanisa na serikali na wenda tukaingia katika vurugu za kidini na haya yote yanapandikizwa na mtu mmoja ambaye yeye anawaza tu madaraka wakati inchi imemshinda.
Gentleman,Waache, wakatumbukie shimoni au kaburini kabisa na kujizika wenyewe
Mwaka 2020 tulitoa wito wa hivi hivi, kwamba CCM iachane na Bulldozer au Jiwe Pombe Magufuli.
Wakampigia kampeni, wakampamba weee, akaja mzee wa Brussels, Belgium kiboko chake, Tundu Lissu akachuana naye, akampelekesha Jiwe mpaka akawa hawezi kupumua..
Pamoja na Tume yake kumpendelea ktk kila engo, sanduku la kura nalo lilimkataa, alipigwa vibaya ndani ya ballot box na Tundu Lissu..
Kibabe tu, wakamtangaza Pombe Magufuli kuwa ameshinda huku wakijua kuwa ballot box imemkataa. Akajipatia ushindi wa mamlaka ya dhuluma.
Kama nyie kina Lucha chiembe Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Shotocan Dr wa Manesi na wadudu Chawa wengine mnabisha, basi tuonesheni matokeo ya kura za URais ktk uchaguzi mkuu wa 2020 jimbo kwa jimbo tulinganishe kura zake na zilizotangzwa tu na NEC..!
Hayapo kwa NEC haijawahi kuyatangaza kwa sbb inajua ilichakachua..
Matokeo, kwa sababu ya kudhulumu haki ya mamilioni ya Watanzania kuchagua Rais wao, alikaa madarakani kwa miezi miwili akafa kifo cha aibu na cha kizembe kabisa mitaani tu kama kuku mwenye ugonjwa wa gideri!
Huyu naye anapita njia ileile ya Jiwe. Tena hili limama ndilo hatari zaidi, linaua na kumwaga damu waiwazi mchana kweupe.
Imeshaandikwa ukutani "MENE MENE NA TEKERI" kuwa, amepimwa na kuonekana kuwa hatoshi, hafai na ni sumu isiyofaa kwa matumizi..
Huyu akiendelea na kiburi chake na jeuri yake ya kishetani kunywa damu za watu, yeye yake itamwagwa barabarani na mbweha na nyumi wa angani watailamba na baadae mzoga wake mtakwenda kufukia Kizimkazi kabla hata kabla ya November, 2025
Kama amebakiwa na akili hata kidogo, atubu na kutangaza kwa uwazi kabisa kuwa anaenda kupumzika.!
