CCM msipombadilisha Rais Samia, Tanzania inaenda kusambaratika ndani ya Uongozi wake

Kwenye kampeni naona hakuna kuuliza maswali safari hii, maana maswali yatakuwa kuhusu mauwaji tuuu.
 
Unateseka eeeeh..
Naaa bado!!
 
kwahiyo mkuu wewe unahisi tatizo ni Samia na sio CCM? Unasikitisha sana
 
Samia alipata Urais baada ya Magufuli kufariki, Mungu ndio alimuondoa Magufuli hivyo Samia ni mpango wa Mungu.
 
Baache, batalokota benyewe ku nyavu.
 

Mtaungua sana, sindana ishawaingia sasa ngojeni dawa iwaingie tartiib.
 
CCM ni ile ile.

Kumbuka hilo.
Tunao utaratibu wetu tangu 1977, ndio unaofuatwa. Hakuna ccm ya jakaya wala ya samia. Wataondoka wataiacha ccm, kama ilivyokuwa kwa watangulizi wao.
 
Haya ya mwisho ina maana sana,kua Kanisa litafanya chochote kama Rais Samia atabaki madarakani. Hizi siasa sio nzuri ata kama CHADEMA wana amini kwenye siasa za dini ili aliko sawa.
 
Haya ya mwisho ina maana sana,kua Kanisa litafanya chochote kama Rais Samia atabaki madarakani. Hizi siasa sio nzuri ata kama CHADEMA wana amini kwenye siasa za dini ili aliko sawa.
Una miaka karibu 15 JF lakini hata kuandika ni shida?!
 
Uchaguzi ni fursa admin ya ku reset taifa na kuimarisha mwelekeo mpya wa taifa.
Na ni dhairi zitaibuka hata baada ya uchaguzi na kuendeleza misuaguano iliyopo jamba ambalo litasababisha matumizi makubwa ya nguvu na kuondoa utulivu kwenye taifa.
Ni vyema serikali ikaachaba na misimamo mikali na kufanya engagement na wadau mbalimbali.
Mu humble advice
 
Inasambaratikaje hujasema sasa yaani kipande kipi na kipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…