CCM msipombadilisha Rais Samia, Tanzania inaenda kusambaratika ndani ya Uongozi wake

CCM nawashauri kwa Hekima kubwa msije mkamtoa SAMIA SULUHU Hassan kugombea uraisi ili CCM iwe rasmi chama cha upinzani mpende msipende hilo linakuja.wapiga zumari weka akiba ya maneno.2025 nyani haruki patachimbika we are tired to the maximum.
 
Wewe ngoja uone watakavyotekana kwenye chaguzi za ndani! Si wanakwambia Oktoba wanatiki!
 
CCM nawashauri kwa Hekima kubwa msije mkamtoa SAMIA SULUHU Hassan kugombea uraisi ili CCM iwe rasmi chama cha upinzani mpende msipende hilo linakuja.wapiga zumari weka akiba ya maneno.2025 nyani haruki patachimbika we are tired to the maximum.
Samia mwenyewe keshaporwa na insiders!
 
Hoja fikirishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…