mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hivi unajua maana ya kumkataa Yesu?
Yesu alitaka awe nani kwa nani? Nani walio mkataa.
Usichanganye mambo usiyo yajua. Eti kumkataa Polepole ni sawa na kumkataa Yesu, kweli?
Imeandikwa "huna budi ya kuitii mamlaka ya serikali yako, kwani mamlaka zote zinatoka kwa Mungu"