Hivi unajua maana ya kumkataa Yesu?
Yesu alitaka awe nani kwa nani? Nani walio mkataa.
Usichanganye mambo usiyo yajua. Eti kumkataa Polepole ni sawa na kumkataa Yesu, kweli?
Nachokifurahia kwako ni kuwa msomaji wa Neno la Mungu, kinachonisikitisha ni kuchukua ufahamu usio wako kuufanya uwe wako
Baada ya Kifo cha Yesu msalabani, adhabu moja tu iliyobaki kwa wanadamu, ni hukumu siku ya mwisho, pale parapanda itakapolia na woote wenye mwili na waliokufa hapo kabla, watakusanyika tayari kwa hukumu ya milele
Nayo ikaribu, cha msingi ni kutengeneza maisha yako, mpaka huu muda, hakuna teso ambalo kwalo linawapa shida watakatifu wake, yapo mateso yatakayokuja ambayo kama siku hazitafupishwa hakuna atakayeokoka, unaongelea baya na mateso yepi ambayo umefanyiwa wewe, acha hizo mkuu, Ni siku zake zimetimia na ameondoka kama zinavyozidi kutimia kwa wengine leo