CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

"Msituletee" wewe na nani,mbona mimi nilimpenda?
 
Mbona unapiga za pembeni pembeni wakati wewe una uhakika wa kile ninachoongea?

Alafu kwa kazi yako, uliyoelezea vizuri na una uzoefu nayo, ya wa wasiojulikana, kuzoa mavi ya chupi baada ya kunyonga!
Mtajitaja mwaka huu, mizimu ya akina Lwajabe na bado mtaweweseka!

Mlikuwa mnafikiri damu ya binadamu ni picnic.
 
Hakuna povu mkuu, Tunamponda Magufuli kwa kua ndicho anacho stahili. Maiti amepanda UOVU anavuna UBAYA.
Samia nae atavuna anachopanda haina haraka, Muda utaamua..
Maiti yako inavuna ubaya kivipi?
 
Unataka kusema Magufuli alikuwa mbaya?
ALiligawa taifa,wapinzani walionekana maadui wakipewa jina la "vibaraka wa mabeberu".
The nation was torn apart, business firms were going athwart,fear was a factor to live, Newspapers,radio stations and television stations were not daring to write or broadcast the news which was against the government,in short we were back to Yosef Stalin era,the past former Soviet Union leader,who led the USSR with an iron fist.
 
Ndio zenu, kusingizia watu wengine ni wezi wakati katika awamu ya tano Prof Assad na Kichere walianika uozo hadharani.
Wee kichwani hauna kitu unaulelwew mdogo sana .Auditing quarrel Huwezi kuwa termed kama wizi mpaka hizo hoja zitakapokosa majibu ya hoja husika hebu tusubiri hii awamu ya huyu mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo kijana lala ukuwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…