CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

Halafu Wabongo tulivyo waoga... Sijui asingekufa tungemtoaje tu!!
Mungu aliumba nchi ya amani na akaweka watu wa amani. Sisi hatukuzoea kusikia Rais anasema "mumechagua upinzani, sileti maendeleo".

Hatukuzoea kuona Rais ana miliki kikundi chake cha kuteka na kuua cha WASIOJULIKANA. Haya mambo yabakie huko Burundi alikotokea. Rot in Hell Magufuli
 
Hao watu uliowataja hapo sijawahi washuhudia mahali popote pale labda uniambie ni wapi hawa watu walipokuwa wanapatikana?

Maana kipindi cha Magufuli nachofahamu watu wa kipato cha chini ndio walikuwa wakimpenda maana aliwatengenezea mazingira mazuri sana yakufanya biashara tofouti na huyu ambaye kila kukicha anakuja na mbinu za kuwavunja moyo wafanya biashara wadogo hivyo nategemea hao mbavu za mbwa ukiowataja wakiongezeka awamu hii.
Tueleze hao wanyonge aliowasaidia wako wapi na hayo mazingira mazuri yako wapi sasa.
Mmenunuliwa kwa maneno matupu mnakenua hadi kaburini.
 
Makundi huko CCM yaliasisiwa tangu enzi za Kikwete, wanaofuata wanaendeleza tu hiyo tabia, na pale ambapo viongozi wanajua wanachaguliwa ili wakale kwa urefu wa kamba zao lazima wachague kundi lenye nguvu ili wakatimize malengo yao.
jamaa hawa wa msoga hupenda kumfanya Kikwete awe ni kama malaika kiasi kuwa mabaya yake yote yalikuwa ni ya amgufuli, halafu mazuri yote ya magufuli ni ya Kikwete. Huyu jamaa ndiye aliyegawanya CCM kiasi kuwa mpaka leo haijapona. Na hata kwenye kinyang'anyiro cha 2015 alikuwa keshaweka mgawanyo huo, ila akaonywa na wazee akina Mkapa na mwinyi, ndiyo maana watu wake akina Makamba na Membe wakatolewa dakaika za mwisho kinyume na alivyokuwa amesuka yeye. Ilikuwa dakika za mwisho iwe ni Membe, Makamba na mwingine yeyote. Sasa hivi kamrudhsiaha Makamba tena
 
Lakini tukubaliane, Magu hakuwa chaguo la Kikwete.
 
Actual, ilikuwa ni Membe ila nguvu ya Mkapa wakisaidiana na Wazee baadhi wakasema hapana. Marehemu Magufuli kuwa Rais, Kikwete hakupendezwa nalo kwa Asilimia 100% na enzi za uhai wake hawakuwahi kuwa karibu hata kidogo.
 
usitukane wakunga na ungalipo. Unaweza kumfuata Jidulamabambasi mwenyewe original (Amani) huko alikotangulia na wewe. Wote tumebeba vifo vyetu mikononi.
Hilo bandiko lipo for you to read between the lines.
Wenye vichwa vya panzi wanafikiri huu ni utoto, lakini thinkers have to think deep.
 
Lakini tukubaliane, Magu hakuwa chaguo la Kikwete.
Afadhali miaka mitano ya magufuli ilisababisha watu tujue kuwa serikali inaweza kutumikia watu, siyo kuwa serikali inapimwa kwa urefu wa kamba. Walitegemea hela za urefu wa kamba ndio hao waliokuwa wanalialia sana wakati wote wa ,magufuli.

Mtu kama Membe angeweza kuongoza nini iwapo ni mtu wa kulia lia hata alipopewa nafasi ya kupiga kampeini ya kumchallenge magufuli akaishia uvunguni; mtu asiyekuwa na confidence namna hiyo ndipo kamba zingekuwa na urefu za kuzunguka dunia nzima. Huyu Makamba anaingia juzi tu tayari keshajuka na crane yenye thamani sawa na gharama za kujenga daraja zima la mto wami. Kamba ndefu hizo ndizo zilifanya nchi isiwe hata na ndege yake wala treni.
 
Afadhali miaka mitano ya magufuli ilisababisha watu tujue kuwa serikali inaweza kutumikia watu, siyo kuwa serikali inapimwa kwa urefu wa kamba. Walitegemea hela za urefu wa kamba ndio hao waliokuwa wanalialia sana wakati wote wa ,magufuli.

Mtu kama Membe angeweza kuongoza nini iwapo ni mtu wa kulia lia hata alipoewa nafasi ya kupuga kampeini ya kumchallenge magufuli akaishia uvunguni; mtu asiyekuwa na confidence namna hiyo ndipo kama zingekuwa na urefu za kuzunguka dunia nzima. Huyu Makamba anaingia juzi tu tayari keshajuka na crane yenye thamani sawa na gharama za kujenga daraja zima la mto wami. Kamba ndefu hizo ndizo zilifanya nchi isiwe hata na ndege yake wala treni.
Wale waliopora Bureu De Change Arusha , kama Sabaya alivyokuwa akifanya, kwa maagizo toka juu, walikula kwa urefu wa kamba ipi?
 
Wale waliopora Bureu De Change Arusha , kama Sabaya alivyokuwa akifanya, kwa maagizo toka juu, walikula kwa urefu wa kamba ipi?
kama alipora sheria ingefuata mkondo wake tu; Magufuli hakuwa na simile. Hukuona Lugoraambaye ni mwanafunzi wa magufuli sengerema naye akashughulikwa tena hadharani?
 
Hapana huyo wenu tuliomba Mungu amuue/afe. Alikuwa muovu sana.

Tuliishi kwa mashaka mpaka mitandaoni.

Akili yake alikuwa kama Mhutu
Kwahiyo wewe Kwa akili yako unadhani ukikaa tu ukamuomba Mungu mtu afe basi anakufa tu !!.
 
Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu.

Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa.

Kiini cha hayo matatizo ni kinyang'anyiro cha urais wa 2015 ambapo walijitokeza wagombea zaidi ya 40.

Naona hili linajirudia mbio za Uspika.

CCM waliboronga vibaya mwaka 2015, na matokeo tuliyaona.

Sasa hivi CCM iwe makini na waache umavikundi, mitandao, na "gangs" za kimasilahi binafsi.

Umeandika umemalza Lakini bado hatujajua unataka kusema nini. Haya Sema Sasa tatizo lako hasa nini linalokusumbua moyoni mwako. Mana nina uhakika Sio haya mambo y Siasa na marehemu. Ukisema awamu ya tano ndo imetupa mama yetu mpendwa.

Ok Tueleze tukusaidie, kabla hujajinyonga na kuacha chupi golini. Be brave.
 
Back
Top Bottom