CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

Acha uropokaji, taja ndugu zako waliouawa na sababu zake na kwa ushahidi.
Listi ni ndefu sana ukianza na Kamanda Mawazo uje kibiti, mateso ya Mheshimiwa LISSU, mauaji ya bin Raheebu wa Saananne.
Kutekwa na kufungwa wana CHADEMA. Kesi ya mchongo aliomwandalia mzee Mbowe, risasi “walizokazwa” wanzanzibari, mauaji ya Azory Gwanda, wasanii na wafanya bishara kutekwa .
Bashite na sabaya wanasema Magufuli aliwatuma kuua ,kutesa kupora mali za watanzania…. Inaendelea..
 
Acha uropokaji, taja ndugu zako waliouawa na sababu zake na kwa ushahidi.
Azory,ben Saa 8,lwajaba,dilunga,elisha eliya ,wa kwenye viroba coco beach,mauaji ya wasio na hatia kibiti wengi waliuliwa kwa kuhisiwa tu wakamuua Azory Ili kuficha ukweli,na wengine kibao waliohisiwa ni kigogo hali kigogo halisi still you hai.
Waliotekwa bring back ndio zilizowaokoa wasiuwawe ni Roma Mkatoliki,Ney wa mitego, MO,Masudi Kipanya,Tito Magoti,BOLLEN ngeti,Abdul Nondo,Eric Kabendela nk.
List inakutosha au unataka zaidi.
Aliwaamuru wauaji warekodi video wakitesa na kuuwa kisha apelekewe aone Ili ashuhudie kuthibitisha kama ni kweli wamewaua.
Nasi tunazidi kumuomba Mola na azidi kuwaibisha na kuyaweka wazi matendo yao maovu ikiwemo zileak hizo video shahidi za waliowaua nduga zetu.
Japo engineer mkuu aliyepigwa stop USA ana haha kwa waganga awatowasaidi.
Hakuna mganga awezae kushindana na nature.
Mniombee mniombee anaona roho za marehemu sio KILA ukoo damu zao upotea bure.
Fanya dhambi zote usiue ukiua umewasha bluetooth on.
Hata jambazi smart huwa auwi anaijua nguvu ya damu.
 
Hata ile risasi ya akwilini mlengwa alikuwa Mbowe ashukuriwe mlinzi wa Mbowe Ingekuwa ni historia ikaenda ondoka na damu ya binti asiye hatia.
Umepewa uchunge kondoo na sio kuwamaliza kondoo hio Kazi mwachie aliyekupa uongozi
 
Huyu kiongoz jini dikteta na katiri inakuaje huko mtaani Raia bado wanamlilia?Ilikuaje raia walizimia na wengine kufa kwenye msiba wake?
Madikteta wote uishi kwa propaganda watu masikini wanyonge future less people ni rahisi kuwapropaganda sababu reasoning zao zipo chini sana hasa ukicontrol media umekamata akili zao furaha ya wanyonge ni kuona matajiri wakilia wao uamini unyonge wao umasikini wao umeletwa na matajiri.
 
Kwahiyo hadi sasa mamilioni ya watanzania wanaomlilia ni kwamba bado Propaganda zinafanya kazi?Unataka Kusema nyie mnaompinga ndio mnaakili sana na hamfanyi Propaganda ila kwa wanaomlubali?
 
Hao Viongozi ndio CCM inawapenda na Itaendelea kuwaletea sana
CCM ikiendelea na kulinda makundi, kuunda mitandao ya maslahi binafsi, hapo tunaweza kupata kiongozi mbaya kuliko yule wa Awamu ya Tano.
Tukumbuke kuwa tutakayemchagua kwa kulinda maslahi ya mtandao wake au kundi lake, huo ndio mwisho wa mustabalai wa utaifa wa nchii.
Awamu ya tano, inabidi tusimung'unye maneno, iliingiza ukabila, iliingiza utengamano katika nchi kivyama na kwa ujumla ingweza kupelekea amani kupotea kwa jinsi ya ukabila.
Tusirudi huko CCM, chonde chonde.
 
Kwahiyo hadi sasa mamilioni ya watanzania wanaomlilia ni kwamba bado Propaganda zinafanya kazi?Unataka Kusema nyie mnaompinga ndio mnaakili sana na hamfanyi Propaganda ila kwa wanaomlubali?
Labda chawa na wapiga dili wa zama zake
 
Kwahiyo hadi sasa mamilioni ya watanzania wanaomlilia ni kwamba bado Propaganda zinafanya kazi?Unataka Kusema nyie mnaompinga ndio mnaakili sana na hamfanyi Propaganda ila kwa wanaomlubali?
Usije sahau kuwa Magufuli tulimchagua sisi wenyewe kwa roho njema na safi.
Tulichokipata hakifai kuhadithia, hatukujua tumepata mtu mwenye visasi, roho mbaya, mkatili, mtu anayejiona yeye ndio kilakitu nchini.
Na bahati mbaya Katiba ilimpa hayo madaraka na kayatumia vibaya.
CCM wasirudie makosa.
 
Mzee miaka 77?

Joe Bidden ana umri gani?
Ukishafika miaka sabini tu tayari wee ni mzee kabisa, ukianza 71 hiyo ni ziada na baraka tu kutoka kwa Mungu,

Kwa hiyo mzee nyerere Mungu alimpa neema ya miaka 7 ya ziada
 
Ajabu sana mkuu hebu soma comments humu ujionee mwenyewe watu wanao jiita ma GT wanacho kijadili.

Eti hadi Leo hii mtu anadai kuwa Magufuli kafa kwasababu hakuwa na utumishi ulio tukuka.

Anasema angekuwa na utumishi ulio tukuka angekuwa hai mpaka Leo.

Inamaana ma GT watu wenye akili kubwa humu wanaamini kuwa mtu akiwa kiongozi tu basi huwa hafi hadi amalize uongozi na akifa tu anakufa kwasababu yeye ni mtenda dhambi. Kwahiyo viongozi wote walio kufia madarakani duniani kote walikuwa watu wabaya sana ndio maana wakafa!!

Hongera sana ma GT wote Kwa mawazo yenu chanya.
Hapana huyo wenu tuliomba Mungu amuue/afe. Alikuwa muovu sana.

Tuliishi kwa mashaka mpaka mitandaoni.

Akili yake alikuwa kama Mhutu
 
Kwahiyo viongoz waliofia madarakani uongozi wao haukutukuka?Akina Samora Machel,Sankara wote hawa uongozi wao ulikua mbaya sana na ndio maana walifia madarakani?
Waliuawa ama ugonjwa?
 
Usije sahau kuwa Magufuli tulimchagua sisi wenyewe kwa roho njema na safi.
Tulichokipata hakifai kuhadithia, hatukujua tumepata mtu mwenye visasi, roho mbaya, mkatili, mtu anayejiona yeye ndio kilakitu nchini.
Na bahati mbaya Katiba ilimpa hayo madaraka na kayatumia vibaya.
CCM wasirudie makosa.
Lowasa ndie aliyeshinda ccm wakageuza upepo tukapata yaliyotupata.
Mkapa akafa kwa huzuni ya lawama na sononeko kwa makosa aliyofanya 2020 baada ya kutuletea dereva kanjanja asiye na leseni ya udereva.
 
Makundi huko CCM yaliasisiwa tangu enzi za Kikwete, wanaofuata wanaendeleza tu hiyo tabia, na pale ambapo viongozi wanajua wanachaguliwa ili wakale kwa urefu wa kamba zao lazima wachague kundi lenye nguvu ili wakatimize malengo yao.
Exactly !!
 
Usije sahau kuwa Magufuli tulimchagua sisi wenyewe kwa roho njema na safi.
Tulichokipata hakifai kuhadithia, hatukujua tumepata mtu mwenye visasi, roho mbaya, mkatili, mtu anayejiona yeye ndio kilakitu nchini.
Na bahati mbaya Katiba ilimpa hayo madaraka na kayatumia vibaya.
CCM wasirudie makosa.
Magufuli alikua kiboko ya mafisadi na waharifu. Kama uko kwenye hilo kundi lzm umchukie. Hakuna Raia mwema aliyemchukia Magufuli
 
Magufuli alikua kiboko ya mafisadi na waharifu. Kama uko kwenye hilo kundi lzm umchukie. Hakuna Raia mwema aliyemchukia Magufuli
Ndege ngapi zimetua Chato toka baada ya msiba?
Hapo ndio utaelewa kuwa hujui ufisadi ni nini?
 
Sio mbaya tu bali alikuwa ni Jinamizi.
Alikuwa na mabaya yake na Mazuri mengi tu, Nchi zetu bila Mkuu kuwa mkali kidogo mambo hayaendi !! Kazi na bata sio saizi yetu ! Bado tupo chini sana !!!
 
Back
Top Bottom