kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
Me binafsi nilishaacha kujibizana na watu jamii ya mtoa mada kwa sababu niligundua mambo haya;
Mosi kuna kundi kutoka CCM linalofanya kila njia kumpondea kumtukana nk JPM humu mitandaoni,na hii inasababishwa na kwamba mwamba kweli kafa lakini bado kuna kundi kubwa linampigania,kipindi Magu yupo waliamini hili kundi linamtetea ili kujipendekeza na kujikomba tu kwa kiongozi wa juu kama ilivyo ada katika nchi hii,sasa roho zinawauma sana Leo hii kuona Mwamba bado anatetewa na kukubalika sana pamoja na kwamba ametangulia mbele za haki,na kibaya zaidi viongozi/watu wao waliobaki Leo hii hawakubaliki kabisaa hata nusu ya Magu tu
Kundi la pili ni hawa wafuasi wa CDM ,hawa bhana walishajiaminisha kwamba wao ndio wao chama chao ni Taasisi kubwa na nguvu ya umma kweli ipo nyuma yao,sasa alichowafanya yule mwamba hakitawatoka akilini mwao mpaka kifo,walipigwa mapigo matakatifu wakapoteana vibaya mpaka leo wengine Belgium wengine Canada na wengine wapo tu kitaaa hawaelewi kitu,yaani chama ndio kimeshapotea na hakiwezi kurudi kama kilivyokuwa kabla ya uchaguzi wa 2015,wao wenyewe wanaufahamu ukweli huu ingawa hawataki kuukubali,ndio maana roho zinawauma sana,hawa jamaa ni kuwaonea huruma tu na si vinginevyo maana machungu waliyonayo hayamithiliki kabisaa, watabaki kumtukana Magu mpaka kiama
Haya Makundi yote mawili huwa hawana hoja zozote za msingi juu ya Magu zaidi ya pumba na matusi tu,story zao kila siku ni zile zile,sasa basi dawa ni kuwadharau na kuwapotezea tu waacheni wajifariji humu mitandaoni ingawa ukweli wanaujua vizuri mioyoni mwao!!