CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

Na wale wenye vyeti fyeki ndo usiseme maana waliamini wangeishi kwa ujanja unja moaka wastaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM hayuko lakini bado unamuota, umeshindwa kujiongoza mpaka ulalamikie walio umauti ?
 
CCM waliboronga vibaya mwaka 2015, na matokeo tuliyaona.

Sasa hivi CCM iwe makini na waache umavikundi, mitandao, na "gangs" za kimasilahi binafsi.
kuboronga ni jadi yao. Mara chache sana wanapatia!
Ndivyo walivyo.
Walishajipindua kutoka jembe na nyundo hadi kuwa chama cha magang masters!
 
Ccm wasirudie makosa kwa vipi ?? Una maana wakubali kuandikwa katiba mpya ambayo haitampa madaraka makubwa kupita kiasi mkuu wa nchi ??! Au wasirudie makosa kwa katiba hii hii iliyopo ??!!
 

Kuna Waziri nilimsikia akisema vjana niwavivu na mnachagua kazi!!!! Kimsingi magufuli Alitakiwa a endelee kuwepo ata wewe usingepata huu muda wakumjadili
 
Wapuuzi kama hao huwa ndo wananipaga ban
 
Ccm wasirudie makosa kwa vipi ?? Una maana wakubali kuandikwa katiba mpya ambayo haitampa madaraka makubwa kupita kiasi mkuu wa nchi ??! Au wasirudie makosa kwa katiba hii hii iliyopo ??!!
Katika hii mada dadavua upendavyo.
Ukiona sungura kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…