Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.
Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.
LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE.
Kama hiyo haitoshi, Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini sio wasomi wa chama chake tu ,la hashaa, wasomi wote wa Tanzania ikiwemo wa CCM wenyewe, hupenda kumsikiliza Tena Kwa utulivu uku wakishangazwa na Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.
Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukua Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.
Yoyote atakayekua anajitokeza Kumjibu LISSU ataonekana mpuuzi tu katika Masikio na macho ya Walimwengu .
Kwa mfano Hotuba ya Jana, LISSU kaungwa Mkono na Rejea za Tume ya Warioba, Katiba, Tafiti za masharika ya Ndani na Nje n.k .
Sasa hotuba kama Ile unaijibuje? Ndo maana ni ama Machawa Kwa kujipendekeza au kutumwa, wanaishi tu kusema "Amani yetu ,Amani yetu ".
LISSU anahitajika kujibiwa na Wazee Akina Jaji Warioba, Prof Shivj , yaan hapa Sio tu uwe Mzee ,ni uwe Mzee mwenye Akili TIMAMU bado alafu Msomi kwelikweli aloelimilka na kama ni Makamo ya LISSU hakikisha unaendana naye kwenye Uelewa wa mambo Kwa nyanja zake.
Leo Mwigulu Bungeni, kaishia tu kusema "Tunaelewa Uwezo wao, tulifanga nao kazi tunawaelewa " , ataishia hapo.
Kujibu LISSU usikurupuke kisa una Waandishi na umeolewa Maiki .
Kwa mfano, Mwenyekiti UWT, nani kamshauri amjibu LISSU kirahiiiiisi namna Ile?.
Ukiondoa Matumizi ya Dola, CCM ni kama hawana MTU wa kujibishana Kwa Hoja na LISSU, na ndio Sababu kulifanyika JARIBIO la kuuwawa.
Kuuwawa Kwa LISSU ni makosa makubwa ambayo Taifa tungeyapata,, LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.