CCM msitumie Machawa kumjibu LISSU, ni Heri kua kimya, Ubaya wa Lissu anazungumza Ukweli na Haki, ni ngumu mno kujibizana naye

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.

Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.

LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE.

Kama hiyo haitoshi, Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini sio wasomi wa chama chake tu ,la hashaa, wasomi wote wa Tanzania ikiwemo wa CCM wenyewe, hupenda kumsikiliza Tena Kwa utulivu uku wakishangazwa na Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.

Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukua Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.

Yoyote atakayekua anajitokeza Kumjibu LISSU ataonekana mpuuzi tu katika Masikio na macho ya Walimwengu .
Kwa mfano Hotuba ya Jana, LISSU kaungwa Mkono na Rejea za Tume ya Warioba, Katiba, Tafiti za masharika ya Ndani na Nje n.k .

Sasa hotuba kama Ile unaijibuje? Ndo maana ni ama Machawa Kwa kujipendekeza au kutumwa, wanaishi tu kusema "Amani yetu ,Amani yetu ".

LISSU anahitajika kujibiwa na Wazee Akina Jaji Warioba, Prof Shivj , yaan hapa Sio tu uwe Mzee ,ni uwe Mzee mwenye Akili TIMAMU bado alafu Msomi kwelikweli aloelimilka na kama ni Makamo ya LISSU hakikisha unaendana naye kwenye Uelewa wa mambo Kwa nyanja zake.

Leo Mwigulu Bungeni, kaishia tu kusema "Tunaelewa Uwezo wao, tulifanga nao kazi tunawaelewa " , ataishia hapo.

Kujibu LISSU usikurupuke kisa una Waandishi na umeolewa Maiki .

Kwa mfano, Mwenyekiti UWT, nani kamshauri amjibu LISSU kirahiiiiisi namna Ile?.

Ukiondoa Matumizi ya Dola, CCM ni kama hawana MTU wa kujibishana Kwa Hoja na LISSU, na ndio Sababu kulifanyika JARIBIO la kuuwawa.

Kuuwawa Kwa LISSU ni makosa makubwa ambayo Taifa tungeyapata,, LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.
 
Sasa chama kinamtumia wasira kubeba ajenda zake utasema hicho chama kipo serious kweli
 
Ugumu wa kudeal na Lissu unatokana na fact kuwa Lissu speech zake anafundisha, yaani anatoa elimu. Ni vigumu sana kupambana na elimu.
Hakika ,LISSU Kila speech lazima iondoe Ujinga na kutoa maarifa mapya.

Ni ngumu sana Kupambana naye.

Njia pekee Kwa watu wa CCM angalau Kwa mbaliii, ilikua ni kuhakikisha wanakua na watu wao makini Ndani ya Chama ambao wangeachwa kuendesha Harakati zao za kuikosoa Serikali kwelikweli .

MTU kama Mpina, Ukosoaji wake kwakua una mashiko na Wananchi tunauamin kwakua ni Wa kweli, CCM ilitakiwa kua inaufanyia kazi.

Kwa kufanya hivo, CCM ingepunguza Gap la usikivu ambalo wananchi waupa Upinzani.

Sasa chama limejaa machawa, Hangaya anapigishwa dundo analopenda kusikia,

LISSU anakukandaa, hujakaa sawa Mpina wa chama chako anakukandaa na kutilia Uzito kipigo Cha LISSU aanchokupa.

Lazima ukoswe usingizi ...hata hivo, Nadhani Kifo Cha CCM kimefika na ni hakika !!.
 
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.

Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.

LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE.

Kama hiyo haitoshi, Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini sio wasomi wa chama chake tu ,la hashaa, wasomi wote wa Tanzania ikiwemo wa CCM wenyewe, hupenda kumsikiliza Tena Kwa utulivu uku wakishangazwa na Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.

Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukua Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.

Yoyote atakayekua anajitokeza Kumjibu LISSU ataonekana mpuuzi tu katika Masikio na macho ya Walimwengu .
Kwa mfano Hotuba ya Jana, LISSU kaungwa Mkono na Rejea za Tume ya Warioba, Katiba, Tafiti za masharika ya Ndani na Nje n.k .

Sasa hotuba kama Ile unaijibuje? Ndo maana ni ama Machawa Kwa kujipendekeza au kutumwa, wanaishi tu kusema "Amani yetu ,Amani yetu ".

LISSU anahitajika kujibiwa na Wazee Akina Jaji Warioba, Prof Shivj , yaan hapa Sio tu uwe Mzee ,ni uwe Mzee mwenye Akili TIMAMU bado alafu Msomi kwelikweli aloelimilka na kama ni Makamo ya LISSU hakikisha unaendana naye kwenye Uelewa wa mambo Kwa nyanja zake.

Leo Mwigulu Bungeni, kaishia tu kusema "Tunaelewa Uwezo wao, tulifanga nao kazi tunawaelewa " , ataishia hapo.

Kujibu LISSU usikurupuke kisa una Waandishi na umeolewa Maiki .

Kwa mfano, Mwenyekiti UWT, nani kamshauri amjibu LISSU kirahiiiiisi namna Ile?.

Ukiondoa Matumizi ya Dola, CCM ni kama hawana MTU wa kujibishana Kwa Hoja na LISSU, na ndio Sababu kulifanyika JARIBIO la kuuwawa.

Kuuwawa Kwa LISSU ni makosa makubwa ambayo Taifa tungeyapata,, LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.
Ni ngumu sana Kwa kweli kujibu hiz hoja zake... Mfano anauliza inakuwaje Zanzibar yenye wapiga kura 500000 iwakilishwe na wabunge 50? Wakati dare salaam yenye Zaid ya wapiga kura million tatu inawakilishwa na wabunge 10?
 
Hapo lazima ubaki Domo wazi.

LISSU hapo alivyo na akili, anapambana maeneo ya Mjini yenye watu wengi ,yapate Wabunge wengi, na Kwa kua mjini ni nyumban Kwa wapinzani, LISSU Anapambana sana kuhakikisha anakuja kupata Wabunge wa kutosha.
 
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.

Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.

LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE.

Kama hiyo haitoshi, Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini sio wasomi wa chama chake tu ,la hashaa, wasomi wote wa Tanzania ikiwemo wa CCM wenyewe, hupenda kumsikiliza Tena Kwa utulivu uku wakishangazwa na Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.

Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukua Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.

Yoyote atakayekua anajitokeza Kumjibu LISSU ataonekana mpuuzi tu katika Masikio na macho ya Walimwengu .
Kwa mfano Hotuba ya Jana, LISSU kaungwa Mkono na Rejea za Tume ya Warioba, Katiba, Tafiti za masharika ya Ndani na Nje n.k .

Sasa hotuba kama Ile unaijibuje? Ndo maana ni ama Machawa Kwa kujipendekeza au kutumwa, wanaishi tu kusema "Amani yetu ,Amani yetu ".

LISSU anahitajika kujibiwa na Wazee Akina Jaji Warioba, Prof Shivj , yaan hapa Sio tu uwe Mzee ,ni uwe Mzee mwenye Akili TIMAMU bado alafu Msomi kwelikweli aloelimilka na kama ni Makamo ya LISSU hakikisha unaendana naye kwenye Uelewa wa mambo Kwa nyanja zake.

Leo Mwigulu Bungeni, kaishia tu kusema "Tunaelewa Uwezo wao, tulifanga nao kazi tunawaelewa " , ataishia hapo.

Kujibu LISSU usikurupuke kisa una Waandishi na umeolewa Maiki .

Kwa mfano, Mwenyekiti UWT, nani kamshauri amjibu LISSU kirahiiiiisi namna Ile?.

Ukiondoa Matumizi ya Dola, CCM ni kama hawana MTU wa kujibishana Kwa Hoja na LISSU, na ndio Sababu kulifanyika JARIBIO la kuuwawa.

Kuuwawa Kwa LISSU ni makosa makubwa ambayo Taifa tungeyapata,, LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.
Kijana umekombolewa sana kifikra.
Umeachana tabia za GAMBOSHI sasa wewe ni kiumbe kipya😂
 
Ccm tumekataa katiba mpya ambayo ingesaidia ku neutralize upinzani hats kwa serikali mseto kama kuke Zanzibar!

Tunasubiri Hadi Vyombo vya dola vichukie vitususe tupoteze Dola ndo tuanze kulia lia!!
 
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.

Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.

LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE.

Kama hiyo haitoshi, Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini sio wasomi wa chama chake tu ,la hashaa, wasomi wote wa Tanzania ikiwemo wa CCM wenyewe, hupenda kumsikiliza Tena Kwa utulivu uku wakishangazwa na Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.

Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukua Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.

Yoyote atakayekua anajitokeza Kumjibu LISSU ataonekana mpuuzi tu katika Masikio na macho ya Walimwengu .
Kwa mfano Hotuba ya Jana, LISSU kaungwa Mkono na Rejea za Tume ya Warioba, Katiba, Tafiti za masharika ya Ndani na Nje n.k .

Sasa hotuba kama Ile unaijibuje? Ndo maana ni ama Machawa Kwa kujipendekeza au kutumwa, wanaishi tu kusema "Amani yetu ,Amani yetu ".

LISSU anahitajika kujibiwa na Wazee Akina Jaji Warioba, Prof Shivj , yaan hapa Sio tu uwe Mzee ,ni uwe Mzee mwenye Akili TIMAMU bado alafu Msomi kwelikweli aloelimilka na kama ni Makamo ya LISSU hakikisha unaendana naye kwenye Uelewa wa mambo Kwa nyanja zake.

Leo Mwigulu Bungeni, kaishia tu kusema "Tunaelewa Uwezo wao, tulifanga nao kazi tunawaelewa " , ataishia hapo.

Kujibu LISSU usikurupuke kisa una Waandishi na umeolewa Maiki .

Kwa mfano, Mwenyekiti UWT, nani kamshauri amjibu LISSU kirahiiiiisi namna Ile?.

Ukiondoa Matumizi ya Dola, CCM ni kama hawana MTU wa kujibishana Kwa Hoja na LISSU, na ndio Sababu kulifanyika JARIBIO la kuuwawa.

Kuuwawa Kwa LISSU ni makosa makubwa ambayo Taifa tungeyapata,, LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.
LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE

Kama haogopi chochote ebu twambie kwanini familia yake ipo Ubeleji na yeye anaishi Bongo kama CHOKORAA!!!
 
Mungu amtunze Tundu Lissu
 
Anatakiwa kujibiwa na mzee tena mzee mwenye akili timamu...daah kwa hiyo Wasira hapa hawezi kuingia kabisa.
 
Hili la Znz na wabunge wa Mtaa,na wabunge 6 wa ujanja ujanja kwa CCM, Viti Maalum linahitaji majibu
 
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.

Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!.

LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA CHOCHOTE.

Kama hiyo haitoshi, Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini sio wasomi wa chama chake tu ,la hashaa, wasomi wote wa Tanzania ikiwemo wa CCM wenyewe, hupenda kumsikiliza Tena Kwa utulivu uku wakishangazwa na Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.

Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukua Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.

Yoyote atakayekua anajitokeza Kumjibu LISSU ataonekana mpuuzi tu katika Masikio na macho ya Walimwengu .
Kwa mfano Hotuba ya Jana, LISSU kaungwa Mkono na Rejea za Tume ya Warioba, Katiba, Tafiti za masharika ya Ndani na Nje n.k .

Sasa hotuba kama Ile unaijibuje? Ndo maana ni ama Machawa Kwa kujipendekeza au kutumwa, wanaishi tu kusema "Amani yetu ,Amani yetu ".

LISSU anahitajika kujibiwa na Wazee Akina Jaji Warioba, Prof Shivj , yaan hapa Sio tu uwe Mzee ,ni uwe Mzee mwenye Akili TIMAMU bado alafu Msomi kwelikweli aloelimilka na kama ni Makamo ya LISSU hakikisha unaendana naye kwenye Uelewa wa mambo Kwa nyanja zake.

Leo Mwigulu Bungeni, kaishia tu kusema "Tunaelewa Uwezo wao, tulifanga nao kazi tunawaelewa " , ataishia hapo.

Kujibu LISSU usikurupuke kisa una Waandishi na umeolewa Maiki .

Kwa mfano, Mwenyekiti UWT, nani kamshauri amjibu LISSU kirahiiiiisi namna Ile?.

Ukiondoa Matumizi ya Dola, CCM ni kama hawana MTU wa kujibishana Kwa Hoja na LISSU, na ndio Sababu kulifanyika JARIBIO la kuuwawa.

Kuuwawa Kwa LISSU ni makosa makubwa ambayo Taifa tungeyapata,, LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.
Hivi unaijuwa CCM vizuri lakini, kile chama hakina kiongozi wala viongozi makini wa kujibizan na Lissu, usishangae wakamtumia kiongozi wao wa kula michango ya misiba ya wenzake (Steve Nyeere) ili ajibizane na Lissu. Unafikiri kwanini walikwenda kumfufua Popo (bingwa wa kulala usingizi bungeni - Mze Wassira)? Yote hii ni kwa sababu walikosa mtu wa maana mwenye akili kuja kuwadanganya Watanzania waliolala.
 
Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho.
Ni kweli
Uwezo wake mkubwa wa Akili ninaamini wasomi wa Tanzania hupenda kumsikiliza kwa utulivu Uwezo wake mkubwa/Kipaji Cha kuzaliwa alichovuviwa na Mungu.
Ni kweli
Kwa karama yake ya kupigania haki, kuwatetea wanyonge , kuchukia Rushwa na uonevu, HUYU LISSU Kapewa Jukumu zito na Mungu, Hazuiliki.
Ni kweli
LISSU anapaswa kulisaidia Taifa hata kama ni Mpinzani.
Naunga mkono hoja.
P
 
Back
Top Bottom