Uchaguzi 2020 CCM mwaka huu kubalini kuwa Wananchi wamewakataa

Tulia mama kwani uchaguzi tayari mbona unalalamika kabla ya siku yenyewe? Ata ivyo anza kuzitia maji mapema,ndo kujiandaa kwenyewe kisaikolojia.
 
Naamini maneno anayosema, na ushahidi ni yeye mwenyewe, maneno yake yalimfanya atembee kwa magoti!

Lissu not only just talks.the talk but also walks the walk. Bifu la maadili NEC 29/10 limeishia.wapi? Si wao wenyewe ndio wakaja kusema oooh sijui masaa 72 na mengine 48 ya kwake yeye! Swines!
 
Kwani shida wananchi.......This Is Africa
 
Meko anajuuuuuuuuuuta kumfahamu nguli wa masuala ya kisheria hapa TZ ambaye si mwingine bali ni Tuuuuuuundu Liiiiiiiiiiisu (in Chakubanga's voice)
 
Wanaokiharibu ccm ni mapolis, tume na Jpm mwenyewe.ubabe umezidi mnoo
 
Huyu anatafuta uwaziri anasahau alillialia kwa kunyooshewa bastola hadharani!Njaa mbaya sana.
njaa PLUS unafki...bila hayo (na yeye anayajua hayo vzr kbs) hata kupitishwa kugombea ubunge asingepitishwa!.

namkumbuka siku ile majasho yanamtoka anaenda ikulu kuomba "msamaha" wa kosa ambalo hajafanya huku akiwa anajichekesha chekesha.

Magu alisema jamaa alimtumia hadi Mama Nyerere ili aweze kuruhusiwa kumuona yesu huyo wa chato!.
 
We mama unauhakika na ukisemacho na unaimani cdm watashika hatamu ya nchi hii?
 
Hata wakichakachua matokeo wajue kuwa wanatawala wananchi wasio na furaha.
Sema watakuwa wanakitawala wewe mwananchi usiye na furaha,siyo wote wanaoishi kwa kumtegemea mwanasiasa kama cdm,utakufa unaloloma,siasa haijwahi kumkomboa mtu
 
Hiyo ni ndoto ya mwandawazimu cdm kuchukua nchi hii,tafuta cha kufanya!!
 
Kumbe hebu tuone clip hii hapa chini.
Your browser is not able to display this video.
 
Nasikia Majimboni wananchi wengi wanawakubali wagombea wa Chadema.
 
Hata wakichakachua matokeo wajue kuwa wanatawala wananchi wasio na furaha.
Na sisi hatutaki kutawaliwa tukiwa hatuna furaha, tunataka furaha. Na kamwe hatutaruhusu tupokwe furaha yetu. Mateso sasa basiiiiii.
 
Na sisi hatutaki kutawaliwa tukiwa hatuna furaha, tunataka furaha. Na kamwe hatutaruhusu tupokwe furaha yetu. Mateso sasa basiiiiii.
Furaha huleta amani, amani huleta maendeleo. Tunahitaji viongozi tutakao kaa nao na kujadiliana nao mahitaji yetu kabla hawajafanya maamuzi yanayotoka tuhusu sisi pasi kutushirikisha.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…