Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Safi kabisa kwa mamlaka hayo hawatapora ndani Tena Bali watahamishia miguvuu Yao kwa majirani.Makonda anafaa kuwa rais wa nchi hii na waziri mkuu awe Sabaya. Tutaaga umaskini haraka.
Kuwa mwenyekiti wa mkoa ni halali. Naenda kumkampenia
Kwamba yuko karibu naye hilo halina ubishi, ni aibu tupuHii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Vituko kama kidogo?Aisee! Hiki chama cha mboga mboga hakiishiwi na vituko.
Kashfa yenyewe kuwashughulikia wauza madawa ya kulevya? Hiyo ndio wewe unaona kashfa? Utakua ni wale uzandiki na ufisadi kila namna ndio mnaona sawa.Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Madawa ya kulevya? Hujui kitu wewe ungenyamaza. Yeye ndio alikuwa akiwapa support Kinje na wengine kufanya biashara smoothly. Au ulikuwa hujaja mjini?Kashfa yenyewe kuwashughulikia wauza madawa ya kulevya? Hiyo ndio wewe unaona kashfa? Utakua ni wale uzandiki na ufisadi kila namna ndio mnaona sawa.