voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
MAKONDA FOR CHAIRMAN[emoji736]
Ni haki yake kama mtanzania mwingine yeyote yule nchini.
Ukiachana na wahuni walioko CCM kwa sasa,"Asali Boyz"
Na washirika wao kina Zitto,kinachoendelea nchi hii ni kuwaharibia watu majina kwa tuhuma za kutengeneza ili wachafuke kisiasa.
Hakuna mahakama ambayo iliwahi kumtia Makonda hatiani kwa Jinai yoyote ile mpaka sasa.
Kwa hiyo anayo haki kwenda kukitumikia chama chake.
Nyinyi CDM mnaomkataa Makonda CCM anzeni kwanza ya huko kwenu,kwa kumkataa Mbowe,ambaye alikwishapatikana na kesi ya kujibu.
Sabaya meenyewe amewashinda,mmebaki kumtesa kihuni tu,kwa kuwa genge lenu ndio limeshika mpini kwz sasa.