CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.

Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.

Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Mtajuana wenyewe huko huko
 
Sasa kama mumempa nafasi Kwa ngazi ya kitaifa sembuse kamkoa?

Hapo Kuna mtu alidanganya kwamba akipewa nafasi italeta kura za Kanda ya Ziwa Kwa sababu ni Mganga wa Jiwe 😁😁

Mwanasiasa sio mwenzako Yuko radhi kutumia mbinu yeyote aendelee kuwepo madarakani,ndio maana hlniliachaga kupiga kura
 
Back
Top Bottom