BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Usiyempenda kaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo hawataki kukubali kwamba zama za giza za dictator uchwara zimekwishaHii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
alikuwa mshamba tu yule DC sema ukishakuwa na madaraka unatakataChama Twawala kina makundi ya aina yote unayoyajua wewe mjini yaani vibaka, majambazi, wabakaji, waroho wa madaraka, nk. Sasa kwa mukitadha huo, kwanini Muhuni Makonda asipewe uenyekiti wakati Muhuni Herry James ni DC!
tatizo hawataki kukubali kwamba zama za giza za dictator uchwara zimekwisha
Kura ataamua.Sasa yule anakigezo gani?
Watu wabaya nchini Tanzania hawakuanza tu na Paul Makonda bali wako wengi tu waliomtangulia, ila kwa Unafiki wenu na Chuki zenu hamuwataji.Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Majangili sio ?Makonda anafaa kuwa rais wa nchi hii na waziri mkuu awe Sabaya. Tutaaga umaskini haraka.
Kuwa mwenyekiti wa mkoa ni halali. Naenda kumkampenia
Kwahiyo taifa la marekan liliona analizibia biashara yake ya madawa ya kulevya likamsingizia jinai kuu ya kukatisha watu uhai???!!!Kashfa yenyewe kuwashughulikia wauza madawa ya kulevya? Hiyo ndio wewe unaona kashfa? Utakua ni wale uzandiki na ufisadi kila namna ndio mnaona sawa.
Hizo no ndoto, ambazo Makonda akijaribu, atajua kilichomtoa kanga manyoyaHii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Hakuna kitu kama hiki kwenye serikali ya Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wetu hawezi ruhusu huu ujingaHii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Ukweli ni kuwa mama mwenyewe hayuko makini ndani ya chama chake ndio maana chaguzi zote ndani yao zimegubikwa na rushwa ya aibu kabisaHakuna kitu kama hiki kwenye serikali ya Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wetu hawezi ruhusu huu ujinga
Aibu kwa mkoa wa mwanza!Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
ni yako, ila sio za watu wengine wenye akili timamu!Yaani Makonda hata akigombea uwenyekiti wa dunia kura yake ya ndio,
Ya kwanza inaanza kwangu.
Wewe mpumbavu acha chuki zako,Huyo Kinana unayemlilia hapa si anakashifa kibao za ujangiri kwa wanyama wetu? Wabongo mna roho mbaya sana ya uchawi na ukabila wa hali ya juu.Aibu kwa mkoa wa mwanza!
Aibu kwa ccm taifa!
Mkuu Kinana, huyu mwehu ana baraka zenu?
Watu hawana akili za kijuha kama za kwako .ni yako, ila sio za watu wengine wenye akili timamu!
Huyo kinana yeye ndio nani?Aibu kwa mkoa wa mwanza!
Aibu kwa ccm taifa!
Mkuu Kinana, huyu mwehu ana baraka zenu?