CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

Haya ya ilani na mengineyo tusiyaegemee sana kwasababu Katiba yetu inampa Rais husika madaraka makubwa, anaweza akaitupa pembeni ilani ya mwenzake at any time akatengeneza yake japo alikuwa makamu wake wa Rais, naona hapa muhimu iangaliwe zaidi sheria inasema nini.
You must be drunk. 😁
 
Awamu yako ya Tano kulikuwa na ilani mbili tofauti za uchaguzi, ya mwaka 2015 na 2020.
Na ndiyo maana hii ni awamu ya tano mhula wa pili.

▪︎ Mhula wa kwanza ulikuwa na ilani ya 2015 - 2020

▪︎ Mhula wa pili ulikuwa na ilani ya 2020 - 2025

Samia bado anatekeleza ilani ya awamu ya tano mhula wa pili utakaoisha 2025...

This is just common sense.
 
Safi, umetengeneza foundation nzuri, Katiba iliyopo inaweka madarakani serikali husika, na Katiba hiyo hiyo inatoa maelezo nini kitatokea endapo Rais aliyepo madarakani ataondoka ofisini either kwa kufariki, kuugua, au vinginevyo...
Kama Samia anamalizia tu kipindi cha awamu ya tano ya Magufuli na hii sio awamu yake basi ataruhusiwa kugombea tena kwa vipindi viwili, mwaka 2025 na mwaka 2030.
 
Na ndiyo maana hii ni awamu ya tano mhula wa pili.

[emoji830]︎ Mhula wa kwanza ulikuwa na ilani ya 2015 - 2020

[emoji830]︎ Mhula wa pili ulikuwa na ilani ya 2020 - 2025

Samia bado anatekeleza ilani ya awamu ya tano mhula wa pili utakaoisha 2025...

This is just common sense.
Akimaliza kutekeleza ilani ya awamu ya tano ndio ataanza kutekeleza awamu mpya ya sita kutoka 2025 hadi 2035 kama akipata ridhaa ya chama chako na akachaguliwa na wananchi?
 
Awamu moja kwa idadi ya awamu alizochaguliwa.

However, baadaye katiba iliweka utaratibu wa ukomo wa mpaka mihula miwili (kila mhula miaka mitano) kwa kila awamu...

Hili jambo la awamu halipo kikatiba na nilishasema hapa, lipo kimazoea zaidi, muhula wa rais unahesabiwa kwa anaeingia madarakani ( rais wa ngapi). Hata akirawala miezi minne, ilimradi ameshika ueais kikatiba ( iwe kwa kura au kuchukua nafasi iliyoachwa wazi kikatiba).

Na sijawahi kusikia au kuona popote pale kuna jambo limekwama au halijatekelezwa kisa mgongano wa neno mhula.

Kuna vitu inabidi tujadili na vichukue muda wetu lakini sio hili la muhula.

Na hata kama hatupendi au hatukurarajia, kwa katiba hii, huyu ndio rais.

Hapa kama kuna mambo ya kuangaziwa, iwe katiba na hivyo vipengere kwamba ikitokea rais aliyeko madarakani ameacha nafasi kwa sababu yeyote ile, utaratibu ubadilike. Ila kwa hii katiba tuliyonayo, hoja ya mihula haina uzito.
 
Polepole the genius.

Watanzania wengi tunamuunga mkono Polepole.

#kataawahuni
"Genius" una underrate hilo neno. Hana contribution yoyote kwenye science ya dunia, siasa ya dunia. Hayuko kwenye community ya mensa, No record amewahi vunja. Simply he is not special or extra ordinanry.
Ww sema ana udhubutu wa kuhoji but not genius.

And unasemea watanzania wapi? Endelea kumpa matumaini hewa. Watanzania huwajui vizur
 
Kwa nini asiruhusiwe kugombea vipindi viwili wakati bado hajaanza kutumikia hata kipindi cha kwanza cha awamu yake ?!
Ulitakiwa kuandika hataruhusiwa kugombea tena vipindi viwili, kwasababu kipindi kimoja ndio hiki anachokimalizia kwasababu yeye na Magufuli walikuwa timu moja, hili kikatiba halikwepeki ila kwakuwa tunatawaliwa kimazoea, sitashangaa likipuuzwa.
 
Kwa nini asiruhusiwe kugombea vipindi viwili wakati bado hajaanza kutumikia hata kipindi cha kwanza cha awamu yake ?!
Hapa niliweka vibaya umeniwahi kabla sijarekebisha, Samia anaweza kugombea vipindi vingine viwili ukiacha hiki alichopo kama atapata ridhaa ya chama chake, na hiyo yake ndio itakuwa awamu ya sita sio hii aliyopo sasa.
 
Karudi kusoma katiba katika hiki kipingele
 
Safi, umetengeneza foundation nzuri, Katiba iliyopo inaweka madarakani serikali husika, na Katiba hiyo hiyo inatoa maelezo nini kitatokea endapo Rais aliyepo madarakani ataondoka ofisini either kwa kufariki, kuugua, au vinginevyo...
Wapi katika imetamka neno Awamu? Weka icho kipengele
 
Safi, umetengeneza foundation nzuri, Katiba iliyopo inaweka madarakani serikali husika, na Katiba hiyo hiyo inatoa maelezo nini kitatokea endapo Rais aliyepo madarakani ataondoka ofisini either kwa kufariki, kuugua, au vinginevyo...
Na tunapenda iwe hivyo, amalizie hii minne, halafu aanze 10 ya kwake kisha atamalizia na mitano ya shukrani.
 
Nyerere aliyetawala Tanzania kwa mihula minne ya jumla ya miaka 21 kwa kuchaguliwa na wananchi alitawala kwa awamu ngapi?
Kwa hiyo Nyerere alikuwa rais wa awamu ya ngapi?? Kwa sababu kwa mujibu wa Polepole awamu moja ni mihula miwili yenye miaka 10.
 
Back
Top Bottom