You must be drunk. 😁Haya ya ilani na mengineyo tusiyaegemee sana kwasababu Katiba yetu inampa Rais husika madaraka makubwa, anaweza akaitupa pembeni ilani ya mwenzake at any time akatengeneza yake japo alikuwa makamu wake wa Rais, naona hapa muhimu iangaliwe zaidi sheria inasema nini.
Na ndiyo maana hii ni awamu ya tano mhula wa pili.Awamu yako ya Tano kulikuwa na ilani mbili tofauti za uchaguzi, ya mwaka 2015 na 2020.
Kama Samia anamalizia tu kipindi cha awamu ya tano ya Magufuli na hii sio awamu yake basi ataruhusiwa kugombea tena kwa vipindi viwili, mwaka 2025 na mwaka 2030.Safi, umetengeneza foundation nzuri, Katiba iliyopo inaweka madarakani serikali husika, na Katiba hiyo hiyo inatoa maelezo nini kitatokea endapo Rais aliyepo madarakani ataondoka ofisini either kwa kufariki, kuugua, au vinginevyo...
Akimaliza kutekeleza ilani ya awamu ya tano ndio ataanza kutekeleza awamu mpya ya sita kutoka 2025 hadi 2035 kama akipata ridhaa ya chama chako na akachaguliwa na wananchi?Na ndiyo maana hii ni awamu ya tano mhula wa pili.
[emoji830]︎ Mhula wa kwanza ulikuwa na ilani ya 2015 - 2020
[emoji830]︎ Mhula wa pili ulikuwa na ilani ya 2020 - 2025
Samia bado anatekeleza ilani ya awamu ya tano mhula wa pili utakaoisha 2025...
This is just common sense.
Bado mpaka leo hujaona vile viongozi wananvyofanya mambo yao nje ya ilani ya chama chao na hakuna wa kuwauliza?You must be drunk. [emoji16]
Awamu moja kwa idadi ya awamu alizochaguliwa.
However, baadaye katiba iliweka utaratibu wa ukomo wa mpaka mihula miwili (kila mhula miaka mitano) kwa kila awamu...
Akimaliza kutekeleza ilani ya awamu ya tano ndio ataanza kutekeleza awamu mpya ya sita kutoka 2025 hadi 2035 kama akipata ridhaa ya chama chako na akachaguliwa na wananchi?
"Genius" una underrate hilo neno. Hana contribution yoyote kwenye science ya dunia, siasa ya dunia. Hayuko kwenye community ya mensa, No record amewahi vunja. Simply he is not special or extra ordinanry.Polepole the genius.
Watanzania wengi tunamuunga mkono Polepole.
#kataawahuni
Ulitakiwa kuandika hataruhusiwa kugombea tena vipindi viwili, kwasababu kipindi kimoja ndio hiki anachokimalizia kwasababu yeye na Magufuli walikuwa timu moja, hili kikatiba halikwepeki ila kwakuwa tunatawaliwa kimazoea, sitashangaa likipuuzwa.
Hapa niliweka vibaya umeniwahi kabla sijarekebisha, Samia anaweza kugombea vipindi vingine viwili ukiacha hiki alichopo kama atapata ridhaa ya chama chake, na hiyo yake ndio itakuwa awamu ya sita sio hii aliyopo sasa.Kwa nini asiruhusiwe kugombea vipindi viwili wakati bado hajaanza kutumikia hata kipindi cha kwanza cha awamu yake ?!
Karudi kusoma katiba katika hiki kipingeleHapa niliweka vibaya umeniwahi kabla sijarekebisha, Samia anaweza kugombea vipindi vingine viwili ukiacha hiki alichopo kama atapata ridhaa ya chama chake, na hiyo yake ndio itakuwa awamu ya sita sio hii aliyopo sasa.
Nimeshajibu! Iyo tafsiri ya awamu ameitoa wapi?Jana Polepole aliwaambia hoja haipigwi rungu, nadhani utakuwa hukumsikia, hoja za Polepole zijibiwe kwa hoja, sio kejeli au vitisho, huu wako ni ushamba.
Wapi katika imetamka neno Awamu? Weka icho kipengeleSafi, umetengeneza foundation nzuri, Katiba iliyopo inaweka madarakani serikali husika, na Katiba hiyo hiyo inatoa maelezo nini kitatokea endapo Rais aliyepo madarakani ataondoka ofisini either kwa kufariki, kuugua, au vinginevyo...
Iyo tafsiri ya Awamu umeitoa wapi?Kama Samia anamalizia tu kipindi cha awamu ya tano ya Magufuli na hii sio awamu yake basi ataruhusiwa kugombea tena kwa vipindi viwili, mwaka 2025 na mwaka 2030.
Na tunapenda iwe hivyo, amalizie hii minne, halafu aanze 10 ya kwake kisha atamalizia na mitano ya shukrani.Safi, umetengeneza foundation nzuri, Katiba iliyopo inaweka madarakani serikali husika, na Katiba hiyo hiyo inatoa maelezo nini kitatokea endapo Rais aliyepo madarakani ataondoka ofisini either kwa kufariki, kuugua, au vinginevyo...
Tumekubaliana tutafuata sheria za Musa ni jino kwa jino na si vinginevyo.CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA.
Na Yericko Nyerere...
Kwa hiyo Nyerere alikuwa rais wa awamu ya ngapi?? Kwa sababu kwa mujibu wa Polepole awamu moja ni mihula miwili yenye miaka 10.Nyerere aliyetawala Tanzania kwa mihula minne ya jumla ya miaka 21 kwa kuchaguliwa na wananchi alitawala kwa awamu ngapi?