BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #21
Duniani kote kuna mipango miji na inafuatwa bila siasa, wajinga nyie Tanzania inafuata mipango miji? hao CCM si ndio wanaharibu?Yaani hizo frame, masoko, magulio yoote yanamilikiwa na Wana CCM!
Chadema acheni uvivu.
Miji imaharibiwa sana ni michafu sana miji ya Tanzania ni michafu haswa.Tembelea dar sasa ndo utalia. Barabara za mitaani ni mbovu takataka hazichukuliwi na manispaa kwa wakati, kazi kuwapa m700 Taifa stars tu!
Huwexi kuweka biashara kwenyenjia za waendao kwa migui au kuziba barabara ya magari wala kujenga gulio eneo la wazi la kuchezea watoto.Gentleman,
it's very simple to interpret that,
ukiona frame za maduka hadi kwenye makazi ya watu, lakini pia ukiona
magulio na minada kila mahali nchini na katika kila mji na kijiji Tanzanian,
Fahamu na kuelewa kwamba hicho ni kielelezo cha hakika, kwamba biashara imekua nchini, na ni uthibitisho kwamba nchi imefunguka kiuchumi, fursa na ajira katika biashara imeongezeka mara dufu, na hivyo uchumi wa nchi unakua, huku kichocheo kikuu ikiwa ni mazingira bora na usalama wa uhakika.
na kwasasabu hiyo hali ya maisha na vipato vya waTanzania inakua bora zaid 🐒
HahaaaaHii kitu inakera hadi basi. Lkn ngoja nikiibgia madarakani nahakikisha tutabomoa. No mercy.
Hatuwezi kuwa na magodwon kwenye makazi ,viwanda uchwara, wachuuzi na boda every where, maeneo yatengwe na kuheshimiwa.
Nawahakikishia sitataka kupendwa kabisa waliouziwa viwanja vilivyotengwa watapoteza na waliouza watafungwa kwa kesi ya kusikilizwa siku moja tu na wengine kwa maelekezo. Majeshi yafanya kazi zao kwa weledi hakuna kutisha watu wala uonezi.
Msiseme sikuwaambia.
Vote for Me
Amini. Nitakuja kuwa. Utakuja Dm kunipa pongezi ila sitakupendelea😀😀Hahaaaa
hiyo ni kasoro na dosari ndogo mno ambayo maeneo mengi imeshatatuliwa na katika maeneo machache yaliyobaki inaendelea kutafutiwa ufumbuzi,Huwexi kuweka biashara kwenyenjia za waendao kwa migui au kuziba barabara ya magari wala kujenga gulio eneo la wazi la kuchezea watoto.
Ishia kwa kusema hakuna mpango mji
Unafanya ushabiki kwenye maswala muhimu maeneo ninayoishi hakuna utatuzi zaidi ya kuona hata maeneo surveyed kwa makazi sasa kuna ujenzi wa ma godwon, barabara ndio usiseme.hiyo ni kasoro na dosari ndogo mno ambayo maeneo mengi imeshatatuliwa na katika maeneo machache yaliyobaki inaendelea kutafutiwa ufumbuzi,
ni muhimu kutambua jitihada kubwa mno za serikali katika kupanua wigo na fursa za kibiashara nchini licha ya changamoto hizo kidogo ambazo zinatatulika.
serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan, itaendelea kuboresha mazingira mazuri zaid ya kibiashara nchini na kuhakikisha amani, ulinzi na usalama wa watu, mali, biashara na makazi yao unakua wa uhakika zaid 🐒
Gentleman,Unafanya ushabiki kwenye maswala muhimu maeneo ninayoishi hakuna utatuzi zaidi ya kuona hata maeneo surveyed kwa makazi sasa kuna ujenzi wa ma godwon, barabara ndio usiseme.
Serikali inaongozwa na cuf au.Hapo ccm inahusikaje? Kwa nini isilaumiwe Serikali na Wataalamu?
Mkuu nakubaliana na wewe ku appreciate kile serkali inafanya , vipo narudia vipo, issue hapa ni ni sahihi huu uchumi unaokuwa kufanywa nje ya mpango mji? mfano machinga wafanyie biashara eneo la kuchezea watoto?Gentleman,
apriciate basi hata hivyo viashiria vya wazi vya ukuaji wa uchumi nchini, kabla ya kulaumu na kulalamikia mambo ambayo yanahitajika kufanyiwa kazi kwa weledi na umakini wa kiwango cha juu sana.
Ni muhimu sana kua wastahimilivu na wenye subra wakati mambo hayo katika maeneo machache yanafanyiwa kazi na wataalamu wa maeneo husika 🐒
Yako wapi?Mi naona sio kazi ngumu kupangilia miji bado haijaharibika kwa kiwango cha kutopangika, maeneo ya wazi bado yapo(japo yanauzwa kwa kasi), barabara za waenda kwa miguu zipo ni vile wamachinga wamejimilikisha kwa muda.
Tatizo ni kua ni mtaji wao wa propaganda, wanawekea kiporo wawatengenezee tatizo halafu walitatie huku wakijisifu.
Manini ??Yako wapi?
Hii kitu inakera hadi basi. Lkn ngoja nikiibgia madarakani nahakikisha tutabomoa. No mercy.
Hatuwezi kuwa na magodwon kwenye makazi ,viwanda uchwara, wachuuzi na boda every where, maeneo yatengwe na kuheshimiwa.
Nawahakikishia sitataka kupendwa kabisa waliouziwa viwanja vilivyotengwa watapoteza na waliouza watafungwa kwa kesi ya kusikilizwa siku moja tu na wengine kwa maelekezo. Majeshi yafanya kazi zao kwa weledi hakuna kutisha watu wala uonezi.
Msiseme sikuwaambia.
Vote for MeeK
Keko eneo la MSD ina.majengo ya viwanda yako wazi kabisa lakini watu wanaenda kuweka mtaani viwanda