Hilo ndo limetokea kwa stendi ya Bukoba mjini kati kukwama hadi sasa...wanataka kujenga vibanda kuzunguka stendi wakati hela hawana na watachafua mji...sasa stendi imekwama na ilibidi ikamilike toka mwezi wa nne... Daladala zinapaki popote tuMiaka michache iliyopita Mkurugenzi wa Jiji la la Arusha na Meya wake walipendekeza makaburi ya majengo yafukuliwe vijengwe vibanda upande mmoja na mwingine wajigawie madiwani na matajari wa Mirerani.
Tuliokuwa na wapendwa wetu wamelala hapo tukisaidiwa na gazeti la Rai tukapiga kelele na kuuvunja mpango huo.
Wanachojali mafisiemu ni kura za machings na matumbo yao tuu ,na mipango miji ni sawa na Kiyunani kwao, hawaelewi kitu.
ulitakaje kwani, watu wanapanga kwenye hayo mafrem tiharahei wanaokota besa ngodaUchumi wa Fremu
Fremu katika makazi
Fremu hospital
Fremu stendi
Fremu makanisani
Fremu karibu na kambi,
Fremu...
Hivi uko serious kweli? Serikali imetokana na chama gani? Inaendeshwa na kusimamiwa na chama gani? Kwa ufupi, hakuna chochote katika nchi hii ambacho unaweza kukitenganisha na CCM?CCM inahusikaje hapo? CCM ndio unatumia wanachama wake kuingiza Serikali?
Shida iliyopo ni kwamba wapo watu wengi ambao hawawezi kuona uhusiano kati ya CCM na umaskini na shida nyingine walizonazo.Naishangaa mpaka sasa bado kipo madarakani!
INAWEZEKANA WENGII WA WATANZANIA NI VICHAA NDIO MAANA WANAENDELEA KUKIWEKA MADARAKANI!