CCM na wanaccm, nini kosa la Bashiru? Demokrasia kwenu ni nongwa?

Mtu anakwambia et sasa hivi kuna uhuru wa kukosoa, huo uhuru upo huku mitandaoni tu tusiojulikana.

ha ha haa
Huku JF dunia ya mazombi tunajibizana kwa uhuru bila hata ya kujali kuwa huyu ni baba/mama mkwe wako au baba/mama mzazi wako. Awe bosi wako au nani mnajibizana tu.
 
Sio uhalifu ambao ulikuwa sponsored na serikaki, tofauti na ule wa Magufuli ambaye alikuwa akituma watu kutekwa na kupigwa risasi
Tumesikia Act wakisema Majaliwa PM anateka watu huko, najiuliza kwanini hajahusishwa na rais Samia kwenye huo utekaji kama alivyokuwa anahusishwa Magufuli na serikali kiujumla kwenye kila utekaji hadi wa wasanii wa muziki?

Naamini kabisa hata hawa panya road ingekuwa kipindi cha Magufuli wangesema wanatumwa na serikali ya Magufuli.
 
ukweli ni kwamba hatupaswi kusifia kazi zinazofanywa na serikali kwa sababu ni haki yetu tunawalipa mishahara na kazi zinafanyika kwa kodi zetu ingekuwa mtu anatoa mfukoni kwake asante ingekuwa sawa lakini siku hizi ni kama utamaduni kushukuru shukuru sehemu zisizostahili kushukuru TUJIREKEBISHE na kutofautishe wajibu na msaada.
 
Ndiyo maana nimeandika kuwa kosa halisahihishwi kwa kosa

..Dr.Bashiru anapaswa kuomba msamaha kwa kusimamia uchawa na ubinyaji mawazo huru kipindi alipokuwa Katibu Mkuu wa Ccm.

..Dr.Bashiru akikiri kwamba alikuwa amepotoka, na akipotosha wakati wa awamu ya 5, atakuwa amepata uhalali au " udhu " wa kukosoa na kutoa mawazo huru ktk awamu ya 6 na kwenda mbele.
 
Hao ndio Watanzania mkuu,hawana uwezo wa ku-digest issues na kufanya independent decisions,mmoja akishalianzisha,wote wata-dumbukia humo humo,they are like Parots.Gwajima aliposema kuna uzombi unakuja,watu hatukumuelewa,this is it.Infact Zombification ilianza zamani sana kwa kutumia other methods like conventional vaccines,other medications etc.,hizi vaccines za Covid zimeletwa tu ili ku-accelerate process.
 
Na huyu Shaka anayesema mgombea 2024 ni Samia peke yake unawaweka wapi,huku si kuvunja Katiba?Binadamu tumekuwa wa hovyo sana,ukiona linakufaa wewe hata kama liko kinyume na Katiba na hata maadili, it's fine.Liko sahihi kabisa kufuatana na Katiba na maadili, ila halikufai,it's wrong,nchi itakwenda hivyo kweli?No nchi hii ni yetu sote jamani,lazima Sheria tulizo jitungia zifuatwe.
 

..Uchawa umekuwepo kwa muda mrefu ndani ya Ccm.

..lakini wakati Magufuli na Bashiru ni mwenyekiti na katibu mkuu uchawa ukachukua sura ya unyama na udhalimu.

..wakati wa Magufuli mtu aliyetoa maoni kama ya Dr.Bashiru angeweza kukamatwa na Polisi, kutekwa na wasiojulikana, au kufikwa na jambo lolote baya.

..Uchawa na kumtukuza Mwenyekiti ni utamaduni mbaya ulioko ktk Ccm na umeambukizwa kwa Watanzania wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…