Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Thread of the Year aiseee, nimeikosa quote nzima purposesly
huyu tpaul ni hatari sana ! Kafunua uozo wote ! Mungu amlinde sana huyu kijana aisee .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread of the Year aiseee, nimeikosa quote nzima purposesly
ccm itaendelea kuwa ccm .chadema itaendelea kuwa chadema.
Simba ataendelea kuwa simba.nyani ataendelea kuwa nyani.
Tembo hatakama akikonda vipi hawezi kuwa kama mbuzi.
Na mbuzi hata kama akinenepa vipi hawezi kuwa kama tembo.
CCM walianza na ngonjera ya Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania. Baada ya kuimba ngonjera hii kwa muda wa miaka 5 na kukosa muitikiaji, wakaamua kubalili mapigo na kuibuka na ngonjera mpya waliyoipa jina la Ari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya (ANGUKA). Pamoja na usanii huu wote, maisha ya mtanzania yamezidi kuwa duni mwaka nenda mwaka rudi!
View attachment 175945 View attachment 175951 View attachment 175957
Tangu CCM washike madaraka nchi imekuwa haina mwelekeo. CCM inafanana na mtu mwenye jino moja. Mtu kama huyo hata umlishe namna gani hawezi kunenepa. Lazima atakufa kwa njaa kwa kuwa hana meno ya kutafunia chakula.
View attachment 175940
Nchi hii imejaliwa rasilimali nyingi za asili kama vile ardhi, maziwa , bahari na mito, madini, misitu, wanyama, nk. Lakini kwa kuwa CCM haina meno, imewaalika wenye meno (wawekezaji) waje watafune (wakavune) rasilimali hizo huku wakiiacha nchi ikiwa ikiwa tupu! Migogoro katika maeneo ya uchimbaji madini na maeneo yenye ardhi ya rutuba imekuwa ikitokea kila kukicha. Wananchi wamenyanganywa ardhi yao nzuri wamepewa wawekezaji. Watanzania wanyonge wamegeuka wakimbizi ndani ya nchi yao. Wananchi wamekata tamaa na utawala wa CCM. Hawana hamu nayo!
View attachment 175946 View attachment 175953
Huduma za jamii kama vile maji, umeme, barabara, elimu na afya imekuwa duni kiasi cha kukatisha tamaa. Wanafunzi kusomea chini ya miti ni suala la kawaida kabisa na wale wachache waliobahatika kupata kupata madarasa duni huketi chini ya sakafu ya vumbi au juu ya matofali! Hali hii mpaka lini hasa? CCM wala hawajali kwa kuwa watoto wao husomeshwa kwenye shule nzuri zenye walimu weledi na vifaa vya kufundishia vinavyotosheleza mahitaji.
View attachment 175947View attachment 175948 View attachment 175950 View attachment 175955 View attachment 175956
Mwalimu Nyerere alipokea uongozi wa nchi kutoka kwa wakoloni wakati nchi ikiwa taabani kiuchumi lakini hatukuwahi kushuhudia ugumu wa maisha kama tunavyoshuhudia hivi sasa. Ni lini hasa CCM na mafisadi wake wataboresha huduma za jamii na kuwafanya wananchi waishi maisha yenye utu?
CCM haina tofauti na mtu mzima aliyekabidhiwa kumlea mtoto mdogo badala yake akanywa maziwa ya mtoto na kumuacha mtoto akifa kwa njaa.
View attachment 175944
Hii maana yake ni kwamba CCM imeamimiwa na wananchi wakaikabidhi rasilimali zote wakitegemea iwaletee maendeleo lakini wanaonufaika na rasilimali hizi ni mafisadi wachache ndani ya chama na seerikali huku wananchi wakiishi maisha duni kupindukia.
CCM ni sawa kabisa na mtu mzima anayemtumia mtoto mdogo kama ngazi kwa manufaa yake binafsi. Mtu wa namna hiyo lazima anakuwa na hililafu kichwani mwake.
View attachment 175937
Vivo hivyo, CCM na mafisadi wake huwatumia walalahoi kama ngazi ya kupandia madarakani na wakishayapata hayo madaraka huuwaacha wananchi solemba. Sote ni mashahidi jinsi ambayo CCM inavyowakumbatia mafisadi na makuwadi wa mabeberu wanaokomba rasilimali za taifa na kuiacha nchi ikiwa kama jangwa.
CCM wameishiwa ubunifu wa kuitoa nchi hapa ilipo na kuipeleka mbele. Hata mcheza shoo anawazidi akili maCCM. Mcheza shoo hutumia mwili wake kama rasilimali ya kujiletea maendeleo kwa kuwaburudisha wateja wake na kuwakonga nyoyo zao.
View attachment 175936
Hata mbuzi anawazidi CCM akili. Wakati wa kiangazi, mbuzi hutumia maarifa yote kuyafikia majani popote yalipo lakini CCM wao wamelala usingizi huku wakitegemea kuombaomba misaada badala ya kutumia rasilimali tulizonazo kuwanufaisha watanzania wote.
View attachment 175935
Kama vile mcheza shoo anayotumia rasilimali aliyonayo (mauno) kujiletea maendeleo, tulitarajia kwamba CCM watumie rasilimali zilizopo nchini kuwaletea wananchi maendeleo endelevu. Nchi hii ina rasilimali lukuki ambazo kama zingetumika vizuri zingeleta manufaa kwa watanzania wote. Kinyume chake rasilimali zote wamekabidhiwa mabeberu (wanaopambwa kwa jina la wawekezaji) ambao wamemimika kutoka kila pembe ya dunia na kukimbilia kuvuma utajiri uliojaa tele nchini Tanzania.
View attachment 175934
Baada ya CCM kushindwa kuiendeleza nchi, wameamua kuwarubuni wananchi wenye njaa kwa lengo la kuwarejesha madarakani kila uchguzi mkuu uitishwapo. Mgao wa fedha wanazopata kutoka kwa mabepari waliowakabidhi rasilimali zetu, hutumikia kama chambo cha kuwarejesha madarakani kwa kuwapikia chakula, kuwapanga kama ngombe kwenye mistari na kuwalisha pilau.
View attachment 175933
Hii ndio kete ya mwisho iliyobaki. Mbinu nyingine zozote ziwazo zimeshindwa kufanya kazi. CCM wamewatia wananchi njaa kwa kutapanya rasilimali zao ili iwe rahisi kuwarubuni kwa kuwalisha chakula, kuwanunulia mbege, mataputapu, t-shirts, kanga, fulana, chumvi, sabuni, nk.
View attachment 175929 View attachment 175930View attachment 175952 View attachment 175978
Na kwa kuwa wananchi hawa wana njaa ya kutisha huamua kugawa kura zao kwa CCM, kisha hukaa na njaa na dhiki zao kwa miaka mingine mitano. Miaka mitano ikiisha CCM huwaendea tena na kuwalisha chakula na kuwapa vizawadi uchwara na hatimaye huwarejesha madarakani tena. Huu ni mzunguko hatari sana ambao kama usipodhibitiwa, wanachi wetu watazidi kutopea kwenye ufukara hadi Yesu atakaporudi. Wakati wa kutafuta kura kwa wananchi, wataingia hadi kwenye mahandaki lakini wakishapata hizo kura hawawakumbuki tena wananchi waliowapa kura.
View attachment 175928 View attachment 175979
Janja ya CCM ni sawa na mfugaji mpumbavu ambaye hamlishi ngombe wake lakini kila uchao utamkuta ameninginia kwenye chuchu akimkamua maziwa. Yuko radhi kukamua mpaka damu zitoke kuliko kumlisha na kumnenepesha ngombe wake ili apate maziwa mengi zaidi.
View attachment 175926 View attachment 175980
MaCCM hawaboreshi maisha ya wananchi lakini kila mwaka hupandisha kodi za bidhaa na huduma na kuyafanya maisha ya walalahoi yawe magumu zaidi. Kila bajeti isomwapo utasikia bia, soda, mkate, mafuta na bidhaa zingine zikipanda bei wakati uchumi wa watanzania bado upo pale pale!
View attachment 175924 View attachment 175925
Silaha ya mwisho kabisa waliyosalia nayo ni kuwabeba wananchi kwenye malori ya mchanga kuwapeleka kwenye mikutano yao ya siasa pamoja na kuwalipa posho uchwara ili kuwajazia mikutano yao ambayo siku za nyuma ilikuwa ikikosa wasikilizaji/wahudhuriaji. CCM wametufikisha hapa tulipo baada ya kuwafukarisha wananchi ili iwe rahisi kuwatawala.
View attachment 175923 View attachment 175958
Posho zenyewe wanzopewa ili kuhudhuria mikutano ya CCM huwa ni kidogo sana kiasi cha kupelekea wahudhuriaji kupigana ngumi na mateke wakigombea hayo makombo kidogo wanayoambulia kutoka kwa mafisadi. Hii ndio CCM zaidi ya mnavyoifahamu. CCM oyeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
View attachment 175977 View attachment 175981
:israel:
Vijana wa nchi wajinga sana...yani umekaa unasubiri CCM ikupe maisha bora..!! We badala upambane mambo yako yawe safi unasubiri wanasiasa wakutengenezee njia..ivi unadhani vyama vya siasa vitakupa neema kwemye dhiki zako? Poleeee....

Labda wewe Mama ako ndio CCm, ninae mama angu yuko kule kijijin kwetu,Namthamin sana,.kuhusu kusoma pia labda wewe umesomeshwa na ccm,.Mimi na wenzangu wengi hatuja someshwa na ccm nakataa kabisa hilo.Nakumbuka baba Mama wakati wanatuangaikia kuhakikisha tunakwenda shule,kupata matibabu nk, .Leo upost uongo eti tumelelewa na ccm,.kama huna point kaa kimya
mtu kuipenda CCM kunashida gani? mjifunze
Kuheshimu mawazo ya wengine au mnaogopa kuukubali ukweli 2015 sisi wapiga kura tutachagua CCM
hebu mhurumie yule mama anayechota maji machafu tena kwenye korongo refu namna ile .
Najuta kwanini nilikuwa nauupuuza uzi huu nikijua utakuwa unahusiana na propaganda za chama chakavu, kumbe kuna madini ya hatari namna hii.....hatari sana aiseee.......
Nilikuwa na hasira na ccm asilimia tisini, sasa zimeongezeka asilimia tisa, mean 99% Maccm kaa mbali na mimi nisije nikavuna kesi isiyo na maana yoyote kwangu....I warn you!!!!!!
Mkuu tpaul barikiwa sana Kamanda Uzi wako ukisambaa vijiji viwili tu hapa Tz nakuhakikishia maccm hayatapata hata viti viwili vya uenyekiti wa mtaa achia mbali Kitongoji.
BACK TANGANYIKA
HAKIKA JF NI KAMA KIMBUNGA ! inakusanya hata makaburi ,Yupi huyo? Labda mama yako manake amekusomesha kwa gharama kubwa lakini hakuna anachofaidi kutoka kwako zaidi ya kupiga porojo humu jf...tumia fursa hakuna mwanasiasa atakaye kuletea utajiri kijana..Comprende?
HAKIKA JF NI KAMA KIMBUNGA ! inakusanya hata makaburi ,
KWAMBA HAWA WAMAMA wote WANAOTESEKA NA MAJI NCHI NZIMA WAMETELEKEZWA NA WATOTO WAO ! EEE BHANA EEE WE MKALI .

Chutama mkuu umeibiwa taulo na "Kichaa" achana naye hao mataahira ya vibarazani yanayoishi kwa kitegemea mifupa iliyibaki mezani kwa kina nape yasikusubue Kamanda
BACK TANGANYIKA