CCM, nani mwenye sababu za kwa nini Watanzania ni masikini wakati nchi imezungukwa na Utajiri kila kona?

Trable

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
1,781
Reaction score
3,288
Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo.

Wanakosaje Ubunifu?
Ni kwa sababu moja tu, ni vigumu sana kuongozwa na watu ambao mawazo yao yote yapo kwenye...nitapataje, nifanye nini ili nipate pesa za kuiba?

Watu wa aina hiyo, hata kama Mungu amewajalia kuwa na upeo mzuri, lakini kwa namna hiyo, akili zao haziwazi nje na kuiba, hawawezi kuwatoa watu kwenye umasikini, narudia tena, mgalagale, mlie na mtakesha kuwaombea, lakini haitatokea watu dizaini hiyo mtegemee miujiza licha kwamba nchi yetu imejaliwa kila lililo jema!

Tufanye nini sasa?
Kwa kuwa nchi yetu, watu wake wote karibu wamefanana na asilimia kubwa ni wacha Mungu, watu ambao wanameza mengi, machungu, karaha, mateso na kila aina ya shuruba na bado wakasema Asante Mungu!

Hata Mimi naungana nao kwa sababu moja, Mimi binafsi naamini katika Amani, kupiganisha watu na kuwaandamanisha ili wakamtoe kiongozi wao, sio njia nzuri, licha kwamba zipo faida zake lakini huwezi kulinganisha na madhara yake.

Faida yake ni kwamba, ni kuwaonyesha viongozi kwamba, wananchi siyo ma mbuzi, wananchi ndio wenye nchi na siyo nchi ni ya kiongozi.

Hasara zake ni kwamba, mnaweza mkajikuta mmeanza upyaaa kabisa kwa kila kitu na wakati mwingine huo upya unaweza kushindanana namna ya kuuanza, kwa sababu itategemeana na mwisho wa dholuba hizo!

Kwa kuwa nchi yetu masikini ni wengi sana ukiondoa tu wachache mno ambao ndio haswaa wanaosumbua na kuwafanya wananchi zaidi ya 80% kuwa hivyo walivyo kwa manufaa yao!

Tunachotakiwa kufanya ni hiki
Ikiwa nchi yetu inakitengo maalumu ambacho kwa hicho kikisema sawa, kiongozi anakuwepo, na kikisema hapana, basi ni hapana!

Naamini kitengo hicho, ndicho haswaa, kwanza hakina ubaguzi, na ni kitengo cha watu wazalendo haswaa, ambao ndani yake huwa kinaumia sana kuhusu hali za watanzania, na ndiyo maana kinauwezo wa kumkataa ama kumkubali kiongozi yeyote yule! Ni wakati wao sasa, kuona nchi ikiondokana na aibu kama hii, ni wakati wao wa kusema hapana!

Najiuliza tu hapa, inawezekanaje watu wanaiba matrlion ya pesa na bado kitengo hiki kinaendelea kuwaamini watu hao?

Hapa Ngoja niseme kwa unyenyekevu, kama si hivyo, nitazilaumu akili zangu kitengo cha watu hawa, wote ni watanzania? Na wana ndugu hapa tanzania? Je, thamani ya nchi kuheshimika wanaijua? Wao wenyewe wanawaza nini juu ya Tanzania? Wanaweza kuumia kama wananchi wa kawaida kuihusu Tanzania?

Ni nani ataiheshimisha nchi? Kama na nyinyi mnaoumizwa juu ya maisha ya watanzania na ndio sauti ya mwisho katika mamlaka ya dunia hii hususani Tanzania mtakaa kustarehe wakati watanzania wenzenu wanaishi kushindia mkate na kodi zao kugawanwa na wachache?

Tanzania nakupenda mpaka naumwa!

Mungu, Ibariki Tanzania
 
Utajiri gan Tanzania imezungukwa nao? Au huwa tunadanganyana tuu
 
Nani mwenye sababu chadema hawana ofisi kwa miaka 30 sasa?
Kulwa Jilala, kwanza tukubaliane mkuu, naungana na wewe kwa Karibu hoja nyingi sana, lakini kwenye hili, nitapingana na wewe mkuu

Labda nirudi kwako kukuliza, unajibu lolote kuhusu umasikini uonoongezeka kila leo kwa watanzania? Hasa unapoendelea kuwaamini CCM, Je, wanamajibu hayo?
 
🤔

Mkuu, fungua macho, itoshe tu kusema, kama kwenye bajeti moja tu tunajikuta tumeibiwa robo nzima ya bajeti, huo ni utajiri mkubwa sana chief
 
Ni muda wa kujaribu upande wa pili wa shillingi
 
Nani mwenye sababu chadema hawana ofisi kwa miaka 30 sasa?
Nionyeshe ofisi moja tu ambayo CCM wamejenga kwa fedha ya kutafuta wenyewe.
Ili unielewe vizuri: Viwanja (Stadia) karibia vyote hapa nchini vinamilikiwa na CCM.
Swali: Je, walivijenga kwa fedha zao au walizipora tu kwa ubabe?
 
Ukweli mchungu inaumiza sana.
Halafu wenye dhamana wakisikia malalamiko ya wananchi wanaowapa kunya yao
Wanasema kama hatutaki tuhamie Burundi.
Haloo yule jamaa ana laana za mawe aliyoyachorachora 2015.
 
Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo.

Wanakosaje Ubunifu?
Ni kwa sababu moja tu, ni vigumu sana kuongozwa na watu ambao mawazo yao yote yapo kwenye...nitapataje, nifanye nini ili nipate pesa za kuiba?

Watu wa aina hiyo, hata kama Mungu amewajalia kuwa na upeo mzuri, lakini kwa namna hiyo, akili zao haziwazi nje na kuiba, hawawezi kuwatoa watu kwenye umasikini, narudia tena, mgalagale, mlie na mtakesha kuwaombea, lakini haitatokea watu dizaini hiyo mtegemee miujiza licha kwamba nchi yetu imejaliwa kila lililo jema!

Tufanye nini sasa?
Kwa kuwa nchi yetu, watu wake wote karibu wamefanana na asilimia kubwa ni wacha Mungu, watu ambao wanameza mengi, machungu, karaha, mateso na kila aina ya shuruba na bado wakasema Asante Mungu!

Hata Mimi naungana nao kwa sababu moja, Mimi binafsi naamini katika Amani, kupiganisha watu na kuwaandamanisha ili wakamtoe kiongozi wao, sio njia nzuri, licha kwamba zipo faida zake lakini huwezi kulinganisha na madhara yake.

Faida yake ni kwamba, ni kuwaonyesha viongozi kwamba, wananchi siyo ma mbuzi, wananchi ndio wenye nchi na siyo nchi ni ya kiongozi.

Hasara zake ni kwamba, mnaweza mkajikuta mmeanza upyaaa kabisa kwa kila kitu na wakati mwingine huo upya unaweza kushindanana namna ya kuuanza, kwa sababu itategemeana na mwisho wa dholuba hizo!

Kwa kuwa nchi yetu masikini ni wengi sana ukiondoa tu wachache mno ambao ndio haswaa wanaosumbua na kuwafanya wananchi zaidi ya 80% kuwa hivyo walivyo kwa manufaa yao!

Tunachotakiwa kufanya ni hiki
Ikiwa nchi yetu inakitengo maalumu ambacho kwa hicho kikisema sawa, kiongozi anakuwepo, na kikisema hapana, basi ni hapana!

Naamini kitengo hicho, ndicho haswaa, kwanza hakina ubaguzi, na ni kitengo cha watu wazalendo haswaa, ambao ndani yake huwa kinaumia sana kuhusu hali za watanzania, na ndiyo maana kinauwezo wa kumkataa ama kumkubali kiongozi yeyote yule! Ni wakati wao sasa, kuona nchi ikiondokana na aibu kama hii, ni wakati wao wa kusema hapana!

Najiuliza tu hapa, inawezekanaje watu wanaiba matrlion ya pesa na bado kitengo hiki kinaendelea kuwaamini watu hao?

Hapa Ngoja niseme kwa unyenyekevu, kama si hivyo, nitazilaumu akili zangu kitengo cha watu hawa, wote ni watanzania? Na wana ndugu hapa tanzania? Je, thamani ya nchi kuheshimika wanaijua? Wao wenyewe wanawaza nini juu ya Tanzania? Wanaweza kuumia kama wananchi wa kawaida kuihusu Tanzania?

Ni nani ataiheshimisha nchi? Kama na nyinyi mnaoumizwa juu ya maisha ya watanzania na ndio sauti ya mwisho katika mamlaka ya dunia hii hususani Tanzania mtakaa kustarehe wakati watanzania wenzenu wanaishi kushindia mkate na kodi zao kugawanwa na wachache?

Tanzania nakupenda mpaka naumwa!

Mungu, Ibariki Tanzania
Shida ni Kuwa watanzania wenye nafasi zao wanatumia zenye mifuko mikubwa kwelikweli,wanakula hata vya wengine bila kushiba🤔
 
Ukweli mchungu inaumiza sana.
Halafu wenye dhamana wakisikia malalamiko ya wananchi wanaowapa kunya yao
Wanasema kama hatutaki tuhamie Burundi.
Haloo yule jamaa ana laana za mawe aliyoyachorachora 2015.
Pindi mawe yale yatakao ongea ndio atajua kama analaana😂
 
UNAWAULIZA WAO WAKATI CCM NDIO WALIOUTENGENEZA HUU UMASIKINI?
 
Ni nani ataiheshimisha nchi? Kama na nyinyi mnaoumizwa juu ya maisha ya watanzania na ndio sauti ya mwisho katika mamlaka ya dunia hii hususani Tanzania mtakaa kustarehe wakatih
watanzania wenzenu wanaishi kushindia mkate na kodi zao kugawanwa na wachache?

Tanzania nakupenda mpaka naumwa!

Mungu, Ibariki Tanzania

Tanzania inawasifia wajinga, wezi l, majambazi wa Mali za umma hao ndio mashujaa wa wengi. Ubinafsj na uwezo mdogo wa kufikiri ni tatizo letu.
 
Ukweli mchungu inaumiza sana.
Halafu wenye dhamana wakisikia malalamiko ya wananchi wanaowapa kunya yao
Wanasema kama hatutaki tuhamie Burundi.
Haloo yule jamaa ana laana za mawe aliyoyachorachora 2015.
Mfumo mzima inabidi ubadilishwe. Rais, waziri, mbunge akivurunda analudishwa mtaani au anapelekwa jela. Wakishapata ofisi wanajisahau.

Hii sera italeta nidhamu na kuheshimu Mali za umma,nafasi yako ya kiongozi.
 
Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo.

Wanakosaje Ubunifu?
Ni kwa sababu moja tu, ni vigumu sana kuongozwa na watu ambao mawazo yao yote yapo kwenye...nitapataje, nifanye nini ili nipate pesa za kuiba?

Watu wa aina hiyo, hata kama Mungu amewajalia kuwa na upeo mzuri, lakini kwa namna hiyo, akili zao haziwazi nje na kuiba, hawawezi kuwatoa watu kwenye umasikini, narudia tena, mgalagale, mlie na mtakesha kuwaombea, lakini haitatokea watu dizaini hiyo mtegemee miujiza licha kwamba nchi yetu imejaliwa kila lililo jema!

Tufanye nini sasa?
Kwa kuwa nchi yetu, watu wake wote karibu wamefanana na asilimia kubwa ni wacha Mungu, watu ambao wanameza mengi, machungu, karaha, mateso na kila aina ya shuruba na bado wakasema Asante Mungu!

Hata Mimi naungana nao kwa sababu moja, Mimi binafsi naamini katika Amani, kupiganisha watu na kuwaandamanisha ili wakamtoe kiongozi wao, sio njia nzuri, licha kwamba zipo faida zake lakini huwezi kulinganisha na madhara yake.

Faida yake ni kwamba, ni kuwaonyesha viongozi kwamba, wananchi siyo ma mbuzi, wananchi ndio wenye nchi na siyo nchi ni ya kiongozi.

Hasara zake ni kwamba, mnaweza mkajikuta mmeanza upyaaa kabisa kwa kila kitu na wakati mwingine huo upya unaweza kushindanana namna ya kuuanza, kwa sababu itategemeana na mwisho wa dholuba hizo!

Kwa kuwa nchi yetu masikini ni wengi sana ukiondoa tu wachache mno ambao ndio haswaa wanaosumbua na kuwafanya wananchi zaidi ya 80% kuwa hivyo walivyo kwa manufaa yao!

Tunachotakiwa kufanya ni hiki
Ikiwa nchi yetu inakitengo maalumu ambacho kwa hicho kikisema sawa, kiongozi anakuwepo, na kikisema hapana, basi ni hapana!

Naamini kitengo hicho, ndicho haswaa, kwanza hakina ubaguzi, na ni kitengo cha watu wazalendo haswaa, ambao ndani yake huwa kinaumia sana kuhusu hali za watanzania, na ndiyo maana kinauwezo wa kumkataa ama kumkubali kiongozi yeyote yule! Ni wakati wao sasa, kuona nchi ikiondokana na aibu kama hii, ni wakati wao wa kusema hapana!

Najiuliza tu hapa, inawezekanaje watu wanaiba matrlion ya pesa na bado kitengo hiki kinaendelea kuwaamini watu hao?

Hapa Ngoja niseme kwa unyenyekevu, kama si hivyo, nitazilaumu akili zangu kitengo cha watu hawa, wote ni watanzania? Na wana ndugu hapa tanzania? Je, thamani ya nchi kuheshimika wanaijua? Wao wenyewe wanawaza nini juu ya Tanzania? Wanaweza kuumia kama wananchi wa kawaida kuihusu Tanzania?

Ni nani ataiheshimisha nchi? Kama na nyinyi mnaoumizwa juu ya maisha ya watanzania na ndio sauti ya mwisho katika mamlaka ya dunia hii hususani Tanzania mtakaa kustarehe wakati watanzania wenzenu wanaishi kushindia mkate na kodi zao kugawanwa na wachache?

Tanzania nakupenda mpaka naumwa!

Mungu, Ibariki Tanzania
Mwadui hapo zamani, wazee walikuwa wanachezea mawe ya Almasi mchezo wa bao.

Hivyo, kuzungukwa na utajiri bila kuyatafuta maarifa ya kubadilisha raslimali kuwa fursa za kuleta utajiri Kwa watu wetu, ni KAZI Bure.

Kwa mfano samaki walioko dep sea, utawezaje kuwapata Kwa kutumia mtumbwi wa kasia bila kuwekeza?
 
Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo.

Wanakosaje Ubunifu?
Ni kwa sababu moja tu, ni vigumu sana kuongozwa na watu ambao mawazo yao yote yapo kwenye...nitapataje, nifanye nini ili nipate pesa za kuiba?

Watu wa aina hiyo, hata kama Mungu amewajalia kuwa na upeo mzuri, lakini kwa namna hiyo, akili zao haziwazi nje na kuiba, hawawezi kuwatoa watu kwenye umasikini, narudia tena, mgalagale, mlie na mtakesha kuwaombea, lakini haitatokea watu dizaini hiyo mtegemee miujiza licha kwamba nchi yetu imejaliwa kila lililo jema!

Tufanye nini sasa?
Kwa kuwa nchi yetu, watu wake wote karibu wamefanana na asilimia kubwa ni wacha Mungu, watu ambao wanameza mengi, machungu, karaha, mateso na kila aina ya shuruba na bado wakasema Asante Mungu!

Hata Mimi naungana nao kwa sababu moja, Mimi binafsi naamini katika Amani, kupiganisha watu na kuwaandamanisha ili wakamtoe kiongozi wao, sio njia nzuri, licha kwamba zipo faida zake lakini huwezi kulinganisha na madhara yake.

Faida yake ni kwamba, ni kuwaonyesha viongozi kwamba, wananchi siyo ma mbuzi, wananchi ndio wenye nchi na siyo nchi ni ya kiongozi.

Hasara zake ni kwamba, mnaweza mkajikuta mmeanza upyaaa kabisa kwa kila kitu na wakati mwingine huo upya unaweza kushindanana namna ya kuuanza, kwa sababu itategemeana na mwisho wa dholuba hizo!

Kwa kuwa nchi yetu masikini ni wengi sana ukiondoa tu wachache mno ambao ndio haswaa wanaosumbua na kuwafanya wananchi zaidi ya 80% kuwa hivyo walivyo kwa manufaa yao!

Tunachotakiwa kufanya ni hiki
Ikiwa nchi yetu inakitengo maalumu ambacho kwa hicho kikisema sawa, kiongozi anakuwepo, na kikisema hapana, basi ni hapana!

Naamini kitengo hicho, ndicho haswaa, kwanza hakina ubaguzi, na ni kitengo cha watu wazalendo haswaa, ambao ndani yake huwa kinaumia sana kuhusu hali za watanzania, na ndiyo maana kinauwezo wa kumkataa ama kumkubali kiongozi yeyote yule! Ni wakati wao sasa, kuona nchi ikiondokana na aibu kama hii, ni wakati wao wa kusema hapana!

Najiuliza tu hapa, inawezekanaje watu wanaiba matrlion ya pesa na bado kitengo hiki kinaendelea kuwaamini watu hao?

Hapa Ngoja niseme kwa unyenyekevu, kama si hivyo, nitazilaumu akili zangu kitengo cha watu hawa, wote ni watanzania? Na wana ndugu hapa tanzania? Je, thamani ya nchi kuheshimika wanaijua? Wao wenyewe wanawaza nini juu ya Tanzania? Wanaweza kuumia kama wananchi wa kawaida kuihusu Tanzania?

Ni nani ataiheshimisha nchi? Kama na nyinyi mnaoumizwa juu ya maisha ya watanzania na ndio sauti ya mwisho katika mamlaka ya dunia hii hususani Tanzania mtakaa kustarehe wakati watanzania wenzenu wanaishi kushindia mkate na kodi zao kugawanwa na wachache?

Tanzania nakupenda mpaka naumwa!

Mungu, Ibariki Tanzania
Hata wewe huna sababu Wala majibu ila sababu ya haraka haraka ni uwezo Wetu wa productivity ni mdogo sana
 
Matatizo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla; ya Juzi,Jana,Leo na kesho ni yaleyale tu; Kwa maana kiiini ni kilekile;
Ukosefu wa maono na maarifa.
Ukosefu wa utashi na maamuzi.
Ukosefu wa nguvu ya sauti Moja(umoja).
UBINAFSI 👈👈👈
Kwa iyo tatizo si la CCM au CHADEMA! Tatizo ni sisi wenyewe watanzania kifikra na kiutashi bado tuko nyuma! Kila mmoja anawaza ndugu zake na tumbo lake! Na si hatima ya Taifa! MABADILIKO YAANZIE KWAKO KATIKA NAFSI YAKO! LA! SIVYO UNAWEZA UKAJISEMESHA HIVYO HALAFU UKAPEWA MAMLAKA UKAWA HATARI ZAIDI HATA YA HAWA UNAOWALAUMU!

Long vie la Tanzania!
Long vie l'

Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo.

Wanakosaje Ubunifu?
Ni kwa sababu moja tu, ni vigumu sana kuongozwa na watu ambao mawazo yao yote yapo kwenye...nitapataje, nifanye nini ili nipate pesa za kuiba?

Watu wa aina hiyo, hata kama Mungu amewajalia kuwa na upeo mzuri, lakini kwa namna hiyo, akili zao haziwazi nje na kuiba, hawawezi kuwatoa watu kwenye umasikini, narudia tena, mgalagale, mlie na mtakesha kuwaombea, lakini haitatokea watu dizaini hiyo mtegemee miujiza licha kwamba nchi yetu imejaliwa kila lililo jema!

Tufanye nini sasa?
Kwa kuwa nchi yetu, watu wake wote karibu wamefanana na asilimia kubwa ni wacha Mungu, watu ambao wanameza mengi, machungu, karaha, mateso na kila aina ya shuruba na bado wakasema Asante Mungu!

Hata Mimi naungana nao kwa sababu moja, Mimi binafsi naamini katika Amani, kupiganisha watu na kuwaandamanisha ili wakamtoe kiongozi wao, sio njia nzuri, licha kwamba zipo faida zake lakini huwezi kulinganisha na madhara yake.

Faida yake ni kwamba, ni kuwaonyesha viongozi kwamba, wananchi siyo ma mbuzi, wananchi ndio wenye nchi na siyo nchi ni ya kiongozi.

Hasara zake ni kwamba, mnaweza mkajikuta mmeanza upyaaa kabisa kwa kila kitu na wakati mwingine huo upya unaweza kushindanana namna ya kuuanza, kwa sababu itategemeana na mwisho wa dholuba hizo!

Kwa kuwa nchi yetu masikini ni wengi sana ukiondoa tu wachache mno ambao ndio haswaa wanaosumbua na kuwafanya wananchi zaidi ya 80% kuwa hivyo walivyo kwa manufaa yao!

Tunachotakiwa kufanya ni hiki
Ikiwa nchi yetu inakitengo maalumu ambacho kwa hicho kikisema sawa, kiongozi anakuwepo, na kikisema hapana, basi ni hapana!

Naamini kitengo hicho, ndicho haswaa, kwanza hakina ubaguzi, na ni kitengo cha watu wazalendo haswaa, ambao ndani yake huwa kinaumia sana kuhusu hali za watanzania, na ndiyo maana kinauwezo wa kumkataa ama kumkubali kiongozi yeyote yule! Ni wakati wao sasa, kuona nchi ikiondokana na aibu kama hii, ni wakati wao wa kusema hapana!

Najiuliza tu hapa, inawezekanaje watu wanaiba matrlion ya pesa na bado kitengo hiki kinaendelea kuwaamini watu hao?

Hapa Ngoja niseme kwa unyenyekevu, kama si hivyo, nitazilaumu akili zangu kitengo cha watu hawa, wote ni watanzania? Na wana ndugu hapa tanzania? Je, thamani ya nchi kuheshimika wanaijua? Wao wenyewe wanawaza nini juu ya Tanzania? Wanaweza kuumia kama wananchi wa kawaida kuihusu Tanzania?

Ni nani ataiheshimisha nchi? Kama na nyinyi mnaoumizwa juu ya maisha ya watanzania na ndio sauti ya mwisho katika mamlaka ya dunia hii hususani Tanzania mtakaa kustarehe wakati watanzania wenzenu wanaishi kushindia mkate na kodi zao kugawanwa na wachache?

Tanzania nakupenda mpaka naumwa!

Mungu, Ibariki Tanzania
 
Kwanza tukubaliane sote kwamba, kila mwenye kutokukidhi mahitaji yake binafsi na ya familia yake, na kwamba umasikini alionao umechangiwa kwa asilimia kubwa sana na viongozi wa chama cha CCM ambao hawana ubunifu wowote wa kuwatoa wananchi kwenye umasikini uliopo.

Wanakosaje Ubunifu?
Ni kwa sababu moja tu, ni vigumu sana kuongozwa na watu ambao mawazo yao yote yapo kwenye...nitapataje, nifanye nini ili nipate pesa za kuiba?

Watu wa aina hiyo, hata kama Mungu amewajalia kuwa na upeo mzuri, lakini kwa namna hiyo, akili zao haziwazi nje na kuiba, hawawezi kuwatoa watu kwenye umasikini, narudia tena, mgalagale, mlie na mtakesha kuwaombea, lakini haitatokea watu dizaini hiyo mtegemee miujiza licha kwamba nchi yetu imejaliwa kila lililo jema!

Tufanye nini sasa?
Kwa kuwa nchi yetu, watu wake wote karibu wamefanana na asilimia kubwa ni wacha Mungu, watu ambao wanameza mengi, machungu, karaha, mateso na kila aina ya shuruba na bado wakasema Asante Mungu!

Hata Mimi naungana nao kwa sababu moja, Mimi binafsi naamini katika Amani, kupiganisha watu na kuwaandamanisha ili wakamtoe kiongozi wao, sio njia nzuri, licha kwamba zipo faida zake lakini huwezi kulinganisha na madhara yake.

Faida yake ni kwamba, ni kuwaonyesha viongozi kwamba, wananchi siyo ma mbuzi, wananchi ndio wenye nchi na siyo nchi ni ya kiongozi.

Hasara zake ni kwamba, mnaweza mkajikuta mmeanza upyaaa kabisa kwa kila kitu na wakati mwingine huo upya unaweza kushindanana namna ya kuuanza, kwa sababu itategemeana na mwisho wa dholuba hizo!

Kwa kuwa nchi yetu masikini ni wengi sana ukiondoa tu wachache mno ambao ndio haswaa wanaosumbua na kuwafanya wananchi zaidi ya 80% kuwa hivyo walivyo kwa manufaa yao!

Tunachotakiwa kufanya ni hiki
Ikiwa nchi yetu inakitengo maalumu ambacho kwa hicho kikisema sawa, kiongozi anakuwepo, na kikisema hapana, basi ni hapana!

Naamini kitengo hicho, ndicho haswaa, kwanza hakina ubaguzi, na ni kitengo cha watu wazalendo haswaa, ambao ndani yake huwa kinaumia sana kuhusu hali za watanzania, na ndiyo maana kinauwezo wa kumkataa ama kumkubali kiongozi yeyote yule! Ni wakati wao sasa, kuona nchi ikiondokana na aibu kama hii, ni wakati wao wa kusema hapana!

Najiuliza tu hapa, inawezekanaje watu wanaiba matrlion ya pesa na bado kitengo hiki kinaendelea kuwaamini watu hao?

Hapa Ngoja niseme kwa unyenyekevu, kama si hivyo, nitazilaumu akili zangu kitengo cha watu hawa, wote ni watanzania? Na wana ndugu hapa tanzania? Je, thamani ya nchi kuheshimika wanaijua? Wao wenyewe wanawaza nini juu ya Tanzania? Wanaweza kuumia kama wananchi wa kawaida kuihusu Tanzania?

Ni nani ataiheshimisha nchi? Kama na nyinyi mnaoumizwa juu ya maisha ya watanzania na ndio sauti ya mwisho katika mamlaka ya dunia hii hususani Tanzania mtakaa kustarehe wakati watanzania wenzenu wanaishi kushindia mkate na kodi zao kugawanwa na wachache?

Tanzania nakupenda mpaka naumwa!

Mungu, Ibariki Tanzania
Sema baadhi ya Watanzania Bakheresa, Mo Dewji, Familia ya Mengi nk,na mimi ni watanzania sio masikini

Tuombe samahani andika baadhi ya Watanzania ndio wako hivyo ukiwemo wewe.mleta mada

Tukome Watanzania wengine
 
Kulwa Jilala, kwanza tukubaliane mkuu, naungana na wewe kwa Karibu hoja nyingi sana, lakini kwenye hili, nitapingana na wewe mkuu

Labda nirudi kwako kukuliza, unajibu lolote kuhusu umasikini uonoongezeka kila leo kwa watanzania? Hasa unapoendelea kuwaamini CCM, Je, wanamajibu hayo?
Sababu ni mwananchi mwenyewe!!kama mwananchi hajitambui utegemee serikali,iwe makini?!!hadi kizazi hiki kiishe kabisa,labda watakuja wanaojitambua.
 
Back
Top Bottom