stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
- Thread starter
- #21
Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Chama cha wakulima na wafanyakazi.
Jembe-Wakulima
Nyundo-Wafanyakazi.
Nasikitika kuona chama kimeporwa kutoka kwa wakulima na wafanyakazi sasa ni cha wabunge, wasaliti kutoka upinzani wanaotafuta teuzi na wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa mgongo wa chama.
UVCCM wakemee hilo.
mkuu kua na chama fahari yake nikua na wanachama wengi na washinde viti vingi, ndo matamanio ya vyama vingi