CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

- Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani

- CCM inapoendelea na sera zake nzuri za maendeleo, kujitegemea (Self reliance) pamoja na amani ya nchi tutegemee kukiona mbali zaidi katika siasa za dunia

View attachment 1930194

Je vyama vingine navyo vina tume zao za uchaguzi na polisi wao?
 
- Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani

- CCM inapoendelea na sera zake nzuri za maendeleo, kujitegemea (Self reliance) pamoja na amani ya nchi tutegemee kukiona mbali zaidi katika siasa za dunia

View attachment 1930194

Unasema number dont lie wakati kila siku na kila shirika la haki linajua CCM inaiba kura waziwazi na kudanganya. Yaani ni kujiaibisha sana kuongelea hili maana watu sio wajinga hivyo. Unasema China 😂. Wakati tunajua hata demokrasia haipo sasa chama cha nini😂😂 yaani tuna vizazi zero
 
umekula?
 
kwan umeona apo NEC mzee baba? au ni umekasirika
WTF

images (1).jpg
 
Back
Top Bottom