CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)


mkuu kua na chama fahari yake nikua na wanachama wengi na washinde viti vingi, ndo matamanio ya vyama vingi
 
Ni kweli, na miaka yote ya kutawala bado tunahangaika na matundu ya vyoo kwenye shule!
 
Yaani kiLa siku mnajuaga mtu akiwaambia ukweli ni CHADEMA,ACT nk,Kuna watu hawana mrengo wowote wa kisiasa ila wanapinga wezi wa Mali za umma yaani CCM

your either kule ama uku , huezi kua katikati
 
Ni Chama Chenye Wingi wa Wanasiasa Malaya Malaya by JK Nyerere 1967. Wenye tamaa ya Fedha na si kutoa huduma Kwa wananchi.
 
Ni Chama Chenye Wingi wa Wanasiasa Malaya Malaya by JK Nyerere 1967. Wenye tamaa ya Fedha na si kutoa huduma Kwa wananchi.

daaah wapi alisema huo msemo ndugu ama unamaanisha ruzuku za chama znakua za mtu binafsi?
 
Wizi, ujambazi, udhulumati, ukatili na uhuni ndio vinaiweka ccm madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…