mh 6 amekunywa maji glasi 1 na nusu kama dk 20 zilizopita na baada ya hapo katoka humu ukumbini hajarudi
Minja,Hakuna kitu kama hicho hakuna baya alilofanya Lowassa kama lipo angepelekwa Mahakamani. Lowassa ni mchapakazi, alikuwa hacheki na Mtu Wakuu wote wa Wilaya na Mikoa walikuwa wanahaha wakisikia Waziri Mkuu Lowassa anawatembelea sasa hivi ni kama hakuna kitu na hii ndiyo iliyomjengea maadui zaidi ya hapo ni chuki binafsi tu.
Mzittto kabwela, acha hizo, unaweza kuwa Dodoma lakini sio ndani ya kikao, kilewo na wa 16 wako ndani ya kikao, naomba uiheshimu dhima hii kubwa waliyoipa JF kutupakulia hot toka jikoni.Acha hizo wewe, mimi niko dodoma hakuna kitu kama hicho
hakuna lolote..........wanajenga tu umoja wao wa kihuni, nakuhakikishia hakuna malumbano.Mzittto kabwela, acha hizo, unaweza kuwa Dodoma lakini sio ndani ya kikao, kilewo na wa 16 wako ndani ya kikao, naomba uiheshimu dhima hii kubwa waliyoipa JF kutupakulia hot toka jikoni.
FMEs,
m/kiti anatoa anangalizo hapa baada ya mjumbe mmoja kusema hivi
'' mh rais unatakiwa kufanya maamuz mazito kwa faida ya taifa hili mimi nasema ukweli kabisa na Mungu Ni shahid mwenzio rais karume ana nia njema na zanzibar''
ndipo rais akaingilia kati na kusema '' mimi ndiye mwenye mamlaka ya mwisho katika nchi siendeshi nchi kwa kuangalia mwingine anendesha vip na pia humu ndani tumo kwa nia njema kwa hiyo tafadhali mh. changia mada kwa makini''
kuna ukimya flani ukatawala ndipo mh mjumbe akasema ''naomba niishie hapo''
ngonjera tu hizo...
Mzittto kabwela, acha hizo, unaweza kuwa Dodoma lakini sio ndani ya kikao, kilewo na wa 16 wako ndani ya kikao, naomba uiheshimu dhima hii kubwa waliyoipa JF kutupakulia hot toka jikoni.
m/kiti anatoa anangalizo hapa baada ya mjumbe mmoja kusema hivi
'' mh rais unatakiwa kufanya maamuz mazito kwa faida ya taifa hili mimi nasema ukweli kabisa na Mungu Ni shahid mwenzio rais karume ana nia njema na zanzibar''
ndipo rais akaingilia kati na kusema '' mimi ndiye mwenye mamlaka ya mwisho katika nchi siendeshi nchi kwa kuangalia mwingine anendesha vip na pia humu ndani tumo kwa nia njema kwa hiyo tafadhali mh. changia mada kwa makini''
kuna ukimya flani ukatawala ndipo mh mjumbe akasema ''naomba niishie hapo''
.Lakini kama Lowassa alipoanza ufisadi wizara ya Ardhi na akajijengea mahekalu asiyoweza kueleza alikopata mtaji, sijui kwa nini leo hii awe sio mwizi hasa baada ya Nyerere aliyekuwa kipingamizi chake kututoka.
Hivi mkuu unapotumia lugha kama hiyo unatukana JF,watu wa sengerema,na pia hilo neno la rangi tofauti hapo juu...ustaarabu umetushinda hivi kweli?
- Kikao cha jana Dodoma, hawa ndio the supposedly the mind ya taifa letu, na mind you wote hawa ni wanafunzi wa Mwalimu, yaani kichwa chetu taifa uendawazimu mtupu!
- Ni vyema historia yoyote ya taifa letu inayowahusisha hawa watu hapo juu na Mwalimu, ifutwe mara moja ni kumuabisha sana Mwalimu na baba wa taifa na taifa letu!
Respect.
FMEs!
Lowasssa anaweza kupewa U-PM tena au mambo ya nje.lol.au balozi wa kudumu UN.