LGE2024 CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
kwahiyo chadema wanajipanga kutegua mitego ya hila sio? na wana wabunge 20 tu?🀣

kuongozwa na hisia ni ushirikiana tu kama ushirikiana mwingine πŸ’
 
Reactions: Tui
CCM inavohangaika kubaki madarakani utadhani inafanya la maana. Kumbe inataka kuongeza Deni la nje kutoka trilioni 99 mpaka Trilioni 110.
vipi maandalizi ya uchaguzi wa ndani wa chadema kwa nafasi za uongozi wa juu, ratiba bado haijatoka?

Na vip maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa, au bado roho ya usaliti wa wanaChadema walioionyesha kwenye maandamano bado inazengea zengea HQ kamanda?πŸ’
 
Reactions: Tui
wazee ni hazina ya Taifa,
Tafadhali sana heshimu wazee hawa muhimu na wazazi wa waTanzani ambao wametoa mchango mkubwa sana kwa ustawi wa uongozi wa kisiasa kwa Taifa letu πŸ’
 
wazee ni hazina ya Taifa,
Tafadhali sana heshimu wazee hawa muhimu na wazazi wa waTanzani ambao wametoa mchango mkubwa sana kwa ustawi wa uongozi wa kisiasa kwa Taifa letu πŸ’
Mzee mwenye hekima ni Nyerere aliyeweza kukemea maovu ya chama chake kinapofanya makosa. Afadhali Warioba ana msimamo wa kulitetea taifa dhidi ya ujaramia wa CCM, lakini nyie corrupted mnatetea CCM tu ili maovu yenu yalindwe.

Mchango mkubwa mmetoa kwa familia zenu kwa kuiba rasilimali za taifa na kujimilikisha uongozi wa taifa hili kinyumecha sheria.
 
Minathan vyama vya upinzani vingejituliza kwanza viachane ni hii biashara yakushiriki uchaguzi kwanza mpaka watakapo pata ufumbuzi wakushiriki uchaguzi watakao amin ni wahaki na wazi nasema biashara kwakua navyo vnataka kura angalau vipate ruzukuu aijalishi vitashinda au vip
 
Wale WA vyama vya upinzani Tanzania, wanategemea kugombea uongozi WA vijiji na vitongoji, Tegemeeni kuenguliwa sana, ukipona kwenye kuenguliwa ukagombea basi hata kama mkishinda uchaguzi; hamtatangazwa kamwe, wagombea WA CCM tu ndio watakaotangazwa wameshinda.

Ova!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…