LGE2024 CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa

LGE2024 CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mitego ya hila kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Tanzania mwezi November ya anikwa.

02 October 2024
Ubungo, Dar es Salaam

Tundu Lissu - Mwongozo wa waziri wa TAMISEMI kuhusu uchaguzi wa November 2024 umejaa hila, mitego na kujaribu kuengua wagombea wasio wa chama dola kongwe CCM

View: https://m.youtube.com/watch?v=XcHGSsTsInE



View: https://m.youtube.com/watch?v=XcHGSsTsInE

kwahiyo chadema wanajipanga kutegua mitego ya hila sio? na wana wabunge 20 tu?🤣

kuongozwa na hisia ni ushirikiana tu kama ushirikiana mwingine 🐒
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
CCM inavohangaika kubaki madarakani utadhani inafanya la maana. Kumbe inataka kuongeza Deni la nje kutoka trilioni 99 mpaka Trilioni 110.
vipi maandalizi ya uchaguzi wa ndani wa chadema kwa nafasi za uongozi wa juu, ratiba bado haijatoka?

Na vip maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa, au bado roho ya usaliti wa wanaChadema walioionyesha kwenye maandamano bado inazengea zengea HQ kamanda?🐒
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
We Makamba kaa kimya, wewe ni mmoja wa wazee wa hovyo kuwahi kutokea hamtaki uchaguzi huru na haki na uchaguzi kusimamiwa kinyume cha sheria na waziri wa serikali ya CCM.

Badala ya kutaka uhuru mnafurahia jinsi mlivyofanya sarakasi zenu mahakamani kuzuia uchaguzi huru ili kada wenu asimamie uchaguzi kinyume cha sheria.

Halafu unaleta mipasho jukwaani humu, katika wazee wa hovyo kuwahi kutokea nchini wewe na mwenzio Wassira wapotoshaji wa haki wakubwa, mlaaniwe na vizazi vyenu
wazee ni hazina ya Taifa,
Tafadhali sana heshimu wazee hawa muhimu na wazazi wa waTanzani ambao wametoa mchango mkubwa sana kwa ustawi wa uongozi wa kisiasa kwa Taifa letu 🐒
 
wazee ni hazina ya Taifa,
Tafadhali sana heshimu wazee hawa muhimu na wazazi wa waTanzani ambao wametoa mchango mkubwa sana kwa ustawi wa uongozi wa kisiasa kwa Taifa letu 🐒
Mzee mwenye hekima ni Nyerere aliyeweza kukemea maovu ya chama chake kinapofanya makosa. Afadhali Warioba ana msimamo wa kulitetea taifa dhidi ya ujaramia wa CCM, lakini nyie corrupted mnatetea CCM tu ili maovu yenu yalindwe.

Mchango mkubwa mmetoa kwa familia zenu kwa kuiba rasilimali za taifa na kujimilikisha uongozi wa taifa hili kinyumecha sheria.
 
Minathan vyama vya upinzani vingejituliza kwanza viachane ni hii biashara yakushiriki uchaguzi kwanza mpaka watakapo pata ufumbuzi wakushiriki uchaguzi watakao amin ni wahaki na wazi nasema biashara kwakua navyo vnataka kura angalau vipate ruzukuu aijalishi vitashinda au vip
 
Wale WA vyama vya upinzani Tanzania, wanategemea kugombea uongozi WA vijiji na vitongoji, Tegemeeni kuenguliwa sana, ukipona kwenye kuenguliwa ukagombea basi hata kama mkishinda uchaguzi; hamtatangazwa kamwe, wagombea WA CCM tu ndio watakaotangazwa wameshinda.

Ova!
 
Back
Top Bottom