Pre GE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM.

IMG_2912.jpeg

Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul Chobo kukitaka Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya kuitisha Mkutano Mkuu wa wanachama na kuangalia vifungu vya katiba vinasemaje ili waweze kumpitisha Mbunge wa sasa wa Rufiji Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee na Rasmi kupitia CCM kwa Jimbo la Rufiji.

IMG_2913.jpeg

Kombo ambaye pia ni moja wa Madiwani aliibuahoja hiyo leo katika Maadhimisho miaka 48 ya CCM yaliyoadhimishwa katika viwanja vya Tanki mbili katika Wilaya ya Rufiji.

==

Maoni ya mdau

Kitendo walichokifanya ccm kule Dodoma cha kumpitisha mgombea wa nafasi ya Urais kinyume cha utaratibu kimeweka msingi mbovu sana na wasipoangalia utatokea mgogoro mkubwa sana huko majimboni kama ambavyo huko Rufiji walivyoanza na wakiacha tu hilo jambo litokee huko Rufiji basi wajue wengine watafuata na haitawezekana kuwazuia maana watasema kama Rufiji imewezekana kwanini wao wazuiwe.
Wapunguze tamaa ya madaraka wanajitia aibu tu.
Na inadhihirisha kuwa ccm sasa imekufa rasmi hawana ubunifu tena.
 
Wakuu

Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM.
View attachment 3223700

View attachment 3223702

Hiki chama kina mambo mengi sana ya kipumbavu
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 4
Wasifanye hivyo itatengenezwa migogoro mikubwa kwenye majimbo mengine na kusababisha kutokuwepo kwa kura za maoni. Mhombea mwenye pesa atafanya lobbying apitishwe bila kura za maoni. Wasifike huko
 
Kitendo walichokifanya ccm kule Dodoma cha kumpitisha mgombea wa nafasi ya Urais kinyume cha utaratibu kimeweka msingi mbovu sana na wasipoangalia utatokea mgogoro mkubwa sana huko majimboni kama ambavyo huko Rufiji walivyoanza na wakiacha tu hilo jambo litokee huko Rufiji basi wajue wengine watafuata na haitawezekana kuwazuia maana watasema kama Rufiji imewezekana kwanini wao wazuiwe.
Wapunguze tamaa ya madaraka wanajitia aibu tu.
Na inadhihirisha kuwa ccm sasa imekufa rasmi hawana ubunifu tena.
 
itakuwa ni ajabu sana na jambo la Kushangaza kama itatokea mwana CCM kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge kwenye jimbo la Mheshimiwa Mohammedi mchengerwa. Wakati kila mmoja na kila mtanzania anatambua uchapakazi wake . Lakini pia ni Mheshimiwa Mchengerwa ni miongoni mwa wabunge wachache wanaoweza kugombea ubunge jimbo lolote lile hapa Nchini na Akapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
 
Kitendo walichokifanya ccm kule Dodoma cha kumpitisha mgombea wa nafasi ya Urais kinyume cha utaratibu kimeweka msingi mbovu sana na wasipoangalia utatokea mgogoro mkubwa sana huko majimboni kama ambavyo huko Rufiji walivyoanza na wakiacha tu hilo jambo litokee huko Rufiji basi wajue wengine watafuata na haitawezekana kuwazuia maana watasema kama Rufiji imewezekana kwanini wao wazuiwe.
Wapunguze tamaa ya madaraka wanajitia aibu tu.
Na inadhihirisha kuwa ccm sasa imekufa rasmi hawana ubunifu tena.
Wewe ni Mwana CCM? Kama siyo mwana CCM basi kaaa kwa kutulia na acha kuwashwa washwa.
 
Back
Top Bottom