OHA
Member
- Aug 20, 2013
- 34
- 42
Siasa sio matusi nimesema watu wasio na mtizamo wambeleWe BONGOLALA! ushawahi KUSIKIA serikali inahangaika na HASHIM RUNGWE???
AU KUHANGAIKA NA AUGUSTINO MREMA?? wa TLP??
Hawana impacts ,endelea tu kujifariji!!!
CHADEMA HATA UUTISHWE UCHAGUZI FREE AND FAIR KESHO WANASHINDA MAPEMA ALFAJIRI.
Upo wewe BWAKU JING........A???[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Maana yake freeman anamtizamo wa mbele na ndiyo maana mpaka sasa chadema kinadumu umesoma vibaya neno halina maana bali mwenye maana ni mwenye kutoa neno