CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

We BONGOLALA! ushawahi KUSIKIA serikali inahangaika na HASHIM RUNGWE???

AU KUHANGAIKA NA AUGUSTINO MREMA?? wa TLP??

Hawana impacts ,endelea tu kujifariji!!!

CHADEMA HATA UUTISHWE UCHAGUZI FREE AND FAIR KESHO WANASHINDA MAPEMA ALFAJIRI.

Upo wewe BWAKU JING........A???[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Siasa sio matusi nimesema watu wasio na mtizamo wambele
Maana yake freeman anamtizamo wa mbele na ndiyo maana mpaka sasa chadema kinadumu umesoma vibaya neno halina maana bali mwenye maana ni mwenye kutoa neno
 
Dawa chungu Kwa wale viwavi was kijani[emoji2957]
Ukisoma kwa makini utaelewa nilikuwa na maanisha wasio ona mbele kama aonavyo freeman na chama chetu ungekuta imeshakufa na ndiyo ilikuwa maana halisi pengine sikueleweka kimaandishi
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Kana ccm itafanya ajenda za cdm, cdm itakufaje!!! CDM ndio kitapigiwa makofi..Vyama vipo kwa maslahi ya wananchi, yakitimizwa vitakufaje?
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Baada ya Mbowe kuwapiga knockout sasa mmebaki Na porojo JF. Mlisubiri kwa hamu kifungo chake hela, lakini wapi! Shetani hajawahi kushinda haki.
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Wewe utakuwa mtu hovyo sana kwa ubinafsi ulionao.
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Kwani si mlishasema ni saccos?
Chama cha wachaga?
Wanakula pesa za ruzuku hadi Pccb mkakimbilia?
Mkawabambikia kesi na kuwafunga.?
Chama hakuna ofisi?
Bado mnataka kusema kina ajenda wakati mliambiwa na lile CHIZI LENU LILIOKUFA LITAUA UPINZANI?
LIMEKUFA LENYEWE
 
Kwahyo badala mjenge nchi, mlete suluhu za mifumuko ya bei

Nyie mnakazana na Chadema.

Sawa, endeleeni tu
 
😂😂😂😂😂
Kiazi kweli wewe, CDM wanapanga mikutano ya hadhara nchi nzima.
 
Kwahyo badala mjenge nchi, mlete suluhu za mifumuko ya bei

Nyie mnakazana na Chadema.

Sawa, endeleeni tu
Kitu ninacho washangaa wana ccm nchi ni yetu sote

Mbowe na chadema hatupiganii nchi ya chadema tunapigania Katiba ambayo ni ya Taifa la Jamhuri ya muungano wa Tanzania (URT).

Tungekuwa na katiba isiyo na viraka viraka sina maana nimedharau katiba yetu lahasha nina maana hii tuliyo nayo ilitengenezwa karne ambayo kwa muda huo ilikidhi mahitaji yake.

Ikumbuke hii ilibadilishwa katiba ya kikoloni na hapo baadaye ikawa ya Tanganyika na baadaye ikawa ya Jamhuri ya Muungano kabla ya kuja kwa mfumo wa vyama vingi. Huwezi ukachukua kipande cha nguo mpya ukaziba nguo kuu.

Tunatakiwa kuunda katiba isiyo na upendeleo yenye msumeno kweli kweli hata mtu akiomba urais au ubunge aufanye kwa wito na weledi wa hali ya juu na hakika rasilimali zetu zitalindwa na watu watalipa kodi kwa hiyari maana wataona uhalisia wa kodi wanazo lipa una endana na kinacho fanyika.

Sasa wote kwa ujumla tupinge dhana isiyovuta taifa kuliweka pamoja tukubali hoja ya kuliweka taifa pamoja na kulinda maslahi mapana ya chama lengo la chadema hawataki urais wanataka katiba na tume huru natumaini ndicho hata watanzania kwa ujumla wanachokitaka.

Tuungane kwa pamoja tuiombe katiba kwa wivu mkubwa na mapenzi makubwa ili kulinda vizazi vijavyo na kuimaridha demokrasia haki na maendeleo yatakayo kuwa katika miongozo thabiti ya kutufikisha ichi ambayo nimatazamio ya watanzania wote.

Mbowe nadhani falisafa yake ni kuona taifa lenye kupenda haki demokrasia yakweli mshikamano bila kujali itikadi za kivyama.
 
Tunatakiwa kuunda katiba isiyo na upendeleo yenye msumeno kweli kweli hata mtu akiomba urais au ubunge aufanye kwa wito na weledi wa hali ya juu na hakika rasilimali zetu zitalindwa na watu watalipa kodi kwa hiyari maana wataona uhalisia wa kodi wanazo lipa una endana na kinacho fanyika.

CCM wakisikia hvo wanaona kama ndio unataka madaraka..

Yaani huo msumeno wanaona unataka uwakate wao peke yao
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.

Inatakikana katiba mpya ya haki bila kujali nani anaileta.

Ikipatikana hiyo kashinda mtanzania na kashinda Chadema pia.

Mbowe, Lissu, Maalim na Chadema hawajawahi kuwa washari. Nani asiyejua porojo za mi mburumundu hii kwa mamlaka?

IMG_20220305_151655_415.jpg

Hivi hata mnaelewa kinachotakiwa kweli?
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Nyuzi nyingine bana.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Kuizima agenda ya katiba mpya ni kuanzisha mchakato wa katiba mpya, vinginevyo haitawezekana ,katiba mpya KWa Sasa sio hutaji la Chadema bali limekua tiyari vuguvugu kamili la wenye nchi
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.

Kwenye siasa usiwe predective. Utaishia kuugua ugonjwa wa moyo
 
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).

Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.

Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.

Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Unaota
 
Back
Top Bottom