CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

Wenye chama hawajamfukuza bado kwa chongolo kugeuza gia angani?☹🤓
 
Kichaa peke atawaamini tena ccm kwa hii saga na kwajinsi walivyoshupaza shingo ni ngumu kuwaamini tena ,mambo ya kufanya marekibisho ya mkataba nikupoteza muda,kama wamekubali makosa wakaepembeni wajifunze uongozi.
 
Jamani Yule mwanaharakati mwenzeetu NSHALA mbona sijawahi kumsikia tangu aitwe na DCI.
NSHALA popote ulipo hebu sema usikike usitutie hofu.
 
Kichaa peke atawaamini tena ccm kwa hii saga na kwajinsi walivyoshupaza shingo ni ngumu kuwaamini tena ,mambo ya kufanya marekibisho ya mkataba nikupoteza muda,kama wamekubali makosa wakaepembeni wajifunze uongozi.
Hayo ni maoni yako mkuu.

Kwa CCM kukubali makosa ni ushindi mkubwa kwa wananchi.

Ushauri wa kitaalam wa Profesa
Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu Mtaafu Joseph Warioba, Mzee Butiku, Profesa Shivji na makada kama mimi hapa mitaani, upinzani wetu haukuwa wa bure.
 
Mkikubali mkikataa pote pamoto ukikaa nchale ukisimama nchale,tafuta kazi ya kufanya mapema
 
CCM wasikilize ushauri wa kitaalam kutoka TLS,Lissu,SLaa,Shivji,Mwabukusi etc na si kina MSANDO wachumia Tumbo ambaye amezoea kusaini mikataba ya kupiga show za giggy money na Mapromota mkataba wa page moja tu.
Kutokana na matamshi ya Katibu Mkuu CCM, naona hilo wamelielewa.
 
Ccm walijua mkataba huo una utata ila wanatumia hekima na busara ikiwezekana huo mkataba uanze upya. Ni wajanja kulinda chama chao kisiwe na mtafaruku wa kugawanyika
 
Wamechelewa, Bunge limesharidhia Subirini hasara ya kumlipa Mwarabu...

Mkataba uko hatua ya utekelezaji wa awali.....

Wameshupaza Shingo then Inavunjika. Pathetic CCM
Katika hili ,Bunge limedhalilika.
Bunge litakula matapishi yake,na wabunge wanaonekana kuwa vibaraka wa serikali.
Hata hivyo inawezekana muswada huo utarudishwa bungeni kwa marekebisho.
 
Kwani DP World wanatumiliki?
Hilo ndio lililoleta mtafarauku, DP World inabidi wafuate masharti ya nchi yetu kibiashara.
viongozi wetu wakihudhuria mamiktano yenye ktaka kuridhia maitifaki yyte, wanaona kwao ni fursa flani na wanapoonyeshwa sehemu za kusaini wanaona wanajijengea majina... baada ya hapo wanasahau halafu wana ridhia mamikatabayenye kututia hasara. wkt wananchi wanalipia matozo na mariba yatokanayo na mamikataba hayo, wenyewe wako makwao Ulaya wanakla mabata yao. CCM itatukomesha walahi
 
CCM ni adui wa tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…