Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Muda ni rafiki mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hata wakuu wa CCM wanajua fika wamelikoroga kuhusu DP world but ilikua wanachekecha game kama litapoa lkn imekua tofaut. Kibaya zaid uvccm wao ni kushangilia tu hawana facts wala hoja zenye mashiko dhidi ya rasilimali za Taifa, all in all ni suala la muda tu watarudi kutekeleza matakwa ya wanaopinga mkataba wa DP world na kurekebisha mapungufu!!! Hawa vidampa wa posho za buku teni za DP world akina Lord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMARS hawa njaa zinawatesa tu lkn hakuna wanachojua!!!Zile hoja za kipumbavu za kutumia Dini na Jinsia zinafifia. Maji na Mafuta yanaanza kujitenga.
View attachment 2706226
Wanaotaka Saa 100 asikosolewe ni wapumbavu wa kiwango cha mwendokasi.Zile hoja za kipumbavu za kutumia Dini na Jinsia zinafifia. Maji na Mafuta yanaanza kujitenga.
View attachment 2706226
Sense has prevailed!Zile hoja za kipumbavu za kutumia Dini na Jinsia zinafifia. Maji na Mafuta yanaanza kujitenga.
View attachment 2706226
Zile hoja za kipumbavu za kutumia Dini na Jinsia zinafifia. Maji na Mafuta yanaanza kujitenga.
View attachment 2706226
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaotaka Saa 100 asikosolewe ni wapumbavu wa kiwango cha mwendokasi.
Alikosolewa Magufuli na Mkapa sembuse yeye Saa 100.
Stupido!.
Ilikua ni suala la muda tu 🤣🤣sasa nawaambien wale vilaza wa mapambio watageuka tena soon, hawa hapa 👇👇Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa.
Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025.
CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!
Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...www.jamiiforums.com
Suala la Bandari na DP World CCM ililichukua kirahisi rahisi ikifikiri watu ni wakuelekezwa kibla bila upinzani wowote.
Ambacho CCM imegundua ni kwamba hata ndani ya CCM na serikali yake , mambo si shwari.
Wazee kama Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu Mstaafu Warioba(mwanasheria) na wasomi kama Prof Shivji (mwanasheria), wameonya juu ya mapungufu ya mkataba wa Bandari na DP World kwa kitaalamu kabisa.
Baada ya Mkataba huo kupitishwa Bungeni na kutetewa na viongozi wandamizi kama Spika Tulia, bado moto uliendelea kujichochea kwa malalamiko juu ya mkataba huu.
Mbaya zaidi ni wanaharakati kama Wakili Mwabukusi na "banyambala" wa huko Mbeya walioli challenge sual zima la mkataba kwa kulipeleka Mahakamani.
Sasa CCM imeamka usingizi wa pono!
Hawawatumi tena vibaka wa kisiasa, kina Kitenge, Zembwela na Hando kutetea Bandari saga.
Sasa Chongolo Katibu Mkuu mwenyewe ni kiguu na njia kulielezea suala la Bandari nchi nzima.
Huko Mwanza, Chongolo sasa anasema;
"Mkataba huu siyo msahafu wala biblia kusema kuwa hauna dosari, kwani umeandikwa na binadamu"
Anaendelea Chongolo:
"...aliitaka serikali kufanya marekebisho katika maeneo yenye tija katika mkataa huo wa uwekezaji na kuhakikisha yanafanyiwa kazi haraka ili utekelezaji uanze haraka"
Ref Nipashe pg 1, pg 2(31/07/2023).
Hiki ndio watanzania walitaka kisikike kutoka CCM, kuwa;
- kwanza, kuna mkataba ulioingiwa kinyemela,
-pili, mkataba huo una makosa,
-tatu,mkataba huo urekebishwa
-na nne , uwekezaji uendlee kwa kutilia maanani maslahi ya Taifa
Kwa Chongolo kukubali kuwa kulikuwa na makosa, basi tusonge mbele, wenye akili watajua binafsi nani aliteleza.
Ningekuwa na uwezo wa kuzichambua michango yenye maana kubwa zaidi humu JF na kuziweka mahala pake penye uzito stahiki ningefanya hivyo..., na huu mchango wako hapa ungekuwa katika kundi hilo maalum.Halafu Afrika aisee hakunaga scandal, ndio maana hatupati viongozi bora.
Unafanya uchafu kesho kutwa watu wamesahau. Mtu ambae jina lake linakukumbusha clip ya kumchoma vidole Giggy Money ndani ya kibasi
RAIS unaejiheshimu na unaeheshimu Wananchi wako unampaje mtu kama huyu taadhima ya kuongoza wananchi wilayani au mkoani???
Kijamaa nacho kinadhani wote tumesahau kwamba ni kichafu na kijinga, kinapata ujasiri wa kusimama mbele ya Watanzania kuongelea issue ya kitaifa ya bandari
Sitafuti mgogoro kati yetu, wewe na mimi, lakini ukweli ni kuwa huitendei haki nafsi yako hata kidogo unaposema "CCM kujisahihisha."Mkuu soma tu alama za nyakati.
CCM na serikali kisiasa iko katika panic mode.
Ni vyema wakajisahihisha, kama Katibu Mkuu Chongolo anavyosema.
Kwamba aliegaiwa bandari anaombwa arudishe!!!Ni jambo jema
Marekebisho ni hadi DP World wakubali
Wayahudi wakamwambia Pilato " Usiandike Mfalme wa Wayahudi bali andika Huyu alijifanya Mfalme wa Wayahudi"
Pontio Pilato akawaambia " Niliyoandika Nimeyaandika'
Basi Yuda Iskarioti akajuta Sana akawarudishia vile vipande 30 wale Wayahudi nao wakamuuliza " Sasa tufanye nazo nini sisi Hizo fedha zenye laana?"Kwamba aliegaiwa bandari anaombwa arudishe!!!
Wanaosemwa wanatukanwa ktk hili nadhani hawajui hasira walizonazo wananchi ktk hili.
Tusubiri.
Mkuu sera za CCM toka miaka ya Mwalimu ni Tujisahihishe.Sitafuti mgogoro kati yetu, wewe na mimi, lakini ukweli ni kuwa huitendei haki nafsi yako hata kidogo unaposema "CCM kujisahihisha."
CCM kama ilivyo sasa haiwezi kamwe kujisahihisha. Mfumo unaotawala ndani ya chama hicho kwa sasa hivi hauruhusu kujisahihisha.